nakufunza
Member
- Oct 9, 2022
- 13
- 17
Uzuri wa Waalimu wakistaafu wanachukua pensheni zao za NSSF mahela kama yote.
Boda boda akifikia uzee anakuwa na srress nyingi maisha Magumu.
Pia tukumbuke huyu bodaboda mnayemzungumzia anapopata hizo ela sijui kwa mwezi inabidi itumike kwa mambo kama
-kufanyia Service pikipiki
-Ale chakula na familia yake
-Na majukumu mengine mengi tu.
Ukweli ni kwamba Bodaboda anaweza akapata pesa kiasi na hiyo pesa pia inatakiwa itumike pia, hata akisave inakuwa kidogo sana, kiasi cha kwamba anaweza akawa sawa na mwalimu au hata akazidiwa na Mwalimu.

- Ikiharibika inakaa kwa fundi wiki ( hapo anakuwa haingizi ela.
- Alipe kodi ya nyumba