Ukweli ni kwamba bodaboda ana fursa na anamzidi kipato Mwalimu

Ukweli ni kwamba bodaboda ana fursa na anamzidi kipato Mwalimu

Kuna mjadala unawaka Moto kwenye jukwaa la MMU kuwa Kati ya mwalimu na bodaboda yupi yupo kwenye sehemu nzuri ya kipato na kuendesha maisha yake ya kila siku.

Iko hivi :bodaboda akitulia vizuri na akajenga uamini Kwa wateja Kwa siku hakosa elfu hamsini mpaka sitini ukipiga Kwa mwezi ni mara tano ya mshahara WA mwalimu anaelipwa laki nne au 5 Kwa mwezi. Hata hivyo bodaboda pesa Yao Ina-vary ila Hawa maticha ipo fixed mpaka miaka mitano au sita atakapopanda daraja [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]. Nafunga mjadara sasa. Mwalimu ni kada ya mwisho kwenye kipato hata muuza magazeti anampita
Wakati nikiwa sekondari niliupenda ualimu. Baada ya kwenda high schoo niliuchukia. Chuo kikuu sikuchukuwa ualimu, lakini baadaye nilijikuta nimekuwa mwalimu, na hadi leo sijatamani kazi nyingine zaidi ya kufundisha, ndiyo maana nimefundisha zaidi ya miaka 40.

Ni kweli kuwa ualimu, hasa siku hizi hauheshimiwi kama kazi nyingione. Waalimu wengi hasa shule za msingi na sekondari za kata wanafanya kazi katika mazingira magumu. Lakini kudai kuwa hiyo kazi ni mbaya kuliko kuendesha bodaboda ni kuidhalalisha hiyo fani. Yeyote anayesema hii fani ni mbaya basi akumbuke kuna fani nyingi ambazo ziko chini ya hizo. Kuna watu wanaitwa clerical officer, messenger, typist, n.k. huwe kulinganisha na ualimu.

Watu wengi wanadhani ualimu ndiyo wenye kipato cha chini. Kwa taarifa yako kuna waalimu wa shule za msingi wenye mishahara mikubwa kuliko wakubwa wao makao makuu. Ualimu unaa ngazi na wengi hupanda na kufikia mishara inayoweza kuwakaribia makatibu wakuu, mameneja wa kati, n.k. Bodaboda anaweza kupata kipato kikubwa na kujiendeleza na kuwa na pesa nyingi (tajiri) kuliko hata engineer, daktari, n.k. Hiyo hutokea katika kada zote. Mimi nimeshuhudumia wahudumu ofisi waklifanikiwa na kutajirika, lakini hii haina maana wahudumu ofisi kazi yao/maisha yao ni bora kuliko maofisa wao. Ni mtu mmoja mmoja. Hii ndiyo maana tuna watu wana masters/Ph.D. lakini bado kati ya hao hali zao zinaweza kuwa duni kuliko wachache wa darasa la saba au la 12.

Mimi nakubaliana na wewe uwezekano wa bodaboda kumzidi mwalimu upo, lakini huwezi kumlinganisha au kuwalinganisha walimu na bodaboda. Mimi nimefanikiwa kwenye ualimu na hata siku mopja sitajilinganisha na bodaboda na bodaboda hawanikaribii kwa vyovyote vile (generally). Lakini nakubali kuna bodaboda mmoja mmoja ambao inawezekana kufanikiwa kuliko mimi. Pia huenda kuna wahudumu offisi weamepata kufanikiwa kuliko mimi. Na hao ni wale waliyopata pesa na kufanya investment zenye kulipa. Walimu nao wapo waliyotumia vipato vyao na kuytajirika!
 
Why mwl na boda
Why isiwe mwl na magereza?au zimamoto
Au nurse

Unamfahamu walimu wanalipwa mishara mizur sana kuliko unachokijua?
Wapo walimu wanalamba mpaka milion 1.6

Laki 9 ndo wengi sana laki 4 idara zote za selikal wapo
Afya
Ulinzi na usalama
Nk
Hasa kwa local government

Mshahara mkubwa unatokana na kiwango cha elimu
Muda wa kazini nk

Kwa idara zote
 
IMG_0862.jpg
 
Kama boda boda pikipiki ni yake anamzidi . Sababu wastani hapo ni kama 16,000/ kwa siku. Mi Namjua dereva mmoja wa boda ya mkaa analipa kila siiku 15, kwa boss wake nae anapata ya kula na kuishi. Hata wanao uza maji tu wana hela ndefu kwa siku. Mwalimu anajazia tuiton na vi semina vinginevyo ananufaika na bima ya afya na pesheni akistaafu lakini kula nyama tu kwenye bucha inabidi achungulie mfukoni sababu kg1 ni 9000/= bila viungo shida sana ajira jamani. labda awe na mshahara wa laki 8 mbele hukoo
kumbe hujui mshara wa mwalimu
 
Hawawez mzidi bodaboda hata iweje
Dharau zinatakuponza
Ila nahakika waliku kibao wamekuzid kipato na wewe utakuwa bodaboda tu mshamb flani wa maisha

Gheto umeweka ka flat screen labda nch 40 mziki mzur
Ukuta umeweka wallpaper basi unakuta maisha ushamaliza

Mtaani kwetu wenyenyumba wengi walimu
Wenye maendeleo wengi walimu
Na bodaboda nyingi zinamilikiwa na walimu hapo usijitoe data
 
Kuna mjadala unawaka Moto kwenye jukwaa la MMU kuwa Kati ya mwalimu na bodaboda yupi yupo kwenye sehemu nzuri ya kipato na kuendesha maisha yake ya kila siku.

Iko hivi :bodaboda akitulia vizuri na akajenga uamini Kwa wateja Kwa siku hakosa elfu hamsini mpaka sitini ukipiga Kwa mwezi ni mara tano ya mshahara WA mwalimu anaelipwa laki nne au 5 Kwa mwezi. Hata hivyo bodaboda pesa Yao Ina-vary ila Hawa maticha ipo fixed mpaka miaka mitano au sita atakapopanda daraja [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]. Nafunga mjadara sasa. Mwalimu ni kada ya mwisho kwenye kipato hata muuza magazeti anampita
Unaongea usichokijua...
Maprofessor pia ni waalimu.....
Unajua wanalipwa sh.ngapi?
Hebu FUTA this rubbish. Let everyone apambane kupata ugali wake, at the end mwenye akili ndo atatoboa kwenye Hali yoyote ya maisha.
 
Navp kuhusu wale wa primary na sekondari
 
Unaongea usichokijua...
Maprofessor pia ni waalimu.....
Unajua wanalipwa sh.ngapi?
Hebu FUTA this rubbish. Let everyone apambane kupata ugali wake, at the end mwenye akili ndo atatoboa kwenye Hali yoyote ya maisha.

Lazima wewe utakua mwalimu unaandamwa na mikopo mbalimbali jumlisha bodi ya mikopo, nmb wachukue chao, salary laki na 30 kazi haina overtime, wala allowance yoyote hapo ndio utaona kivumbi na jasho
 
Dharau zinatakuponza
Ila nahakika waliku kibao wamekuzid kipato na wewe utakuwa bodaboda tu mshamb flani wa maisha

Gheto umeweka ka flat screen labda nch 40 mziki mzur
Ukuta umeweka wallpaper basi unakuta maisha ushamaliza

Mtaani kwetu wenyenyumba wengi walimu
Wenye maendeleo wengi walimu
Na bodaboda nyingi zinamilikiwa na walimu hapo usijitoe data
Mavi Yao
 
Back
Top Bottom