Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
- Thread starter
- #141
Yupi ni mwalimu hapo na yupi ni bodabodaHapo ni sawa na kumlinganisha Fundi Viatu (Shoe Shiner & Repair) na Fundi Magari wa Garage
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yupi ni mwalimu hapo na yupi ni bodabodaHapo ni sawa na kumlinganisha Fundi Viatu (Shoe Shiner & Repair) na Fundi Magari wa Garage
Akutie mimba tu uwe wifi....uanaume sio jambo la kujitangaza ukiwa mwanaume utaonekana tu umejaa udada sana we wifi una hamu sana na walimu.Mimi ni wakiume mkuu
Wewe unahisi yupi ni yupi mkuu?Yupi ni mwalimu hapo na yupi ni bodaboda
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Jama aliachaga kazi huyuMamilioni huko wanazolipana Taasisi.
Ila ukiwa upo TAMISEMI "Hakuna mshahara mrefu"
#YNWA
Wakati nikiwa sekondari niliupenda ualimu. Baada ya kwenda high schoo niliuchukia. Chuo kikuu sikuchukuwa ualimu, lakini baadaye nilijikuta nimekuwa mwalimu, na hadi leo sijatamani kazi nyingine zaidi ya kufundisha, ndiyo maana nimefundisha zaidi ya miaka 40.Kuna mjadala unawaka Moto kwenye jukwaa la MMU kuwa Kati ya mwalimu na bodaboda yupi yupo kwenye sehemu nzuri ya kipato na kuendesha maisha yake ya kila siku.
Iko hivi :bodaboda akitulia vizuri na akajenga uamini Kwa wateja Kwa siku hakosa elfu hamsini mpaka sitini ukipiga Kwa mwezi ni mara tano ya mshahara WA mwalimu anaelipwa laki nne au 5 Kwa mwezi. Hata hivyo bodaboda pesa Yao Ina-vary ila Hawa maticha ipo fixed mpaka miaka mitano au sita atakapopanda daraja [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]. Nafunga mjadara sasa. Mwalimu ni kada ya mwisho kwenye kipato hata muuza magazeti anampita
ToiletSio rahisi million 2 ya kununua bodaboda ticha atainyea wp
kumbe hujui mshara wa mwalimuKama boda boda pikipiki ni yake anamzidi . Sababu wastani hapo ni kama 16,000/ kwa siku. Mi Namjua dereva mmoja wa boda ya mkaa analipa kila siiku 15, kwa boss wake nae anapata ya kula na kuishi. Hata wanao uza maji tu wana hela ndefu kwa siku. Mwalimu anajazia tuiton na vi semina vinginevyo ananufaika na bima ya afya na pesheni akistaafu lakini kula nyama tu kwenye bucha inabidi achungulie mfukoni sababu kg1 ni 9000/= bila viungo shida sana ajira jamani. labda awe na mshahara wa laki 8 mbele hukoo
Dharau zinatakuponzaHawawez mzidi bodaboda hata iweje
Unaongea usichokijua...Kuna mjadala unawaka Moto kwenye jukwaa la MMU kuwa Kati ya mwalimu na bodaboda yupi yupo kwenye sehemu nzuri ya kipato na kuendesha maisha yake ya kila siku.
Iko hivi :bodaboda akitulia vizuri na akajenga uamini Kwa wateja Kwa siku hakosa elfu hamsini mpaka sitini ukipiga Kwa mwezi ni mara tano ya mshahara WA mwalimu anaelipwa laki nne au 5 Kwa mwezi. Hata hivyo bodaboda pesa Yao Ina-vary ila Hawa maticha ipo fixed mpaka miaka mitano au sita atakapopanda daraja [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]. Nafunga mjadara sasa. Mwalimu ni kada ya mwisho kwenye kipato hata muuza magazeti anampita
Navp kuhusu wale wa primary na sekondariUnaongea usichokijua...
Maprofessor pia ni waalimu.....
Unajua wanalipwa sh.ngapi?
Hebu FUTA this rubbish. Let everyone apambane kupata ugali wake, at the end mwenye akili ndo atatoboa kwenye Hali yoyote ya maisha.
Unaongea usichokijua...
Maprofessor pia ni waalimu.....
Unajua wanalipwa sh.ngapi?
Hebu FUTA this rubbish. Let everyone apambane kupata ugali wake, at the end mwenye akili ndo atatoboa kwenye Hali yoyote ya maisha.
Mavi YaoDharau zinatakuponza
Ila nahakika waliku kibao wamekuzid kipato na wewe utakuwa bodaboda tu mshamb flani wa maisha
Gheto umeweka ka flat screen labda nch 40 mziki mzur
Ukuta umeweka wallpaper basi unakuta maisha ushamaliza
Mtaani kwetu wenyenyumba wengi walimu
Wenye maendeleo wengi walimu
Na bodaboda nyingi zinamilikiwa na walimu hapo usijitoe data
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119]
Navp kuhusu wale wa primary na sekondari
Wewe unaejua tuwekee mshahara wao hapakumbe hujui mshara wa mwalimu
Mbona unaruka [emoji23][emoji23][emoji23]Ukamlinganishe mwalimu wa cheti na prof anaegonga vipindi karibu vyuo vikuu vyote na ana maandiko mbalimbali ya miradi unakua tahira tu