Ukweli ni kwamba bodaboda ana fursa na anamzidi kipato Mwalimu

Ukweli ni kwamba bodaboda ana fursa na anamzidi kipato Mwalimu

Hata uvaaji wao vyuoni utawajua tu, tofauti na course nyingine watoto wa BBA, Sheria wakipita unajua kabisa huyu sio mwalimu, na akipita ticha unajua kabisa huyu kweli ticha maana atakupigia bwanga moja lenye panga, na shati la kung’ang’aa na ndula moja kisigino kiko upande na saa yake ya buku tatu jero, hapo utawafaidi wakiwa ndio first year maana wakizoea mazingira wanachapa Kadet za mtumba
Hhhahaha kweli kabisa
 
Mimi boda boda, huwa nafanya.. kwa siku sikosi kulaza 45k... na hapo sijafanya serious, maana huwa na harakati zingine
 
Pesa tamu ila haina maana kama hauna uhai mzee...kiufupi hauko serious..walimu wanamafao wanabima za afya kubwa na familia nzima izo hamsini hamsini za boda akiumwa malaria tu na vile hazalishi tayari amefukuzwa na mwenye nyumba...kiufupi ni takataka na nchi zinazojielewa huwezi kuacha vijana wanateseka hivi kitaa na hivi vikata miguu..ni bora wachangabye mitaji wakalime.
Mzee baba, una upeo finyu sana, ku dadavua mambo, na uelewa.. go back to school then atleast uwe na exposer
 
1. Upuuzi wako huu hutarudia kuandika utakapoenda kitengo cha mifupa Muhimbili.
2. Nionyeshe nyumba ya kisasa yenye choo ndani na master bedroom iliyojengwa na bodaboda.
humu ndani kuna vilaza ...
 
Kuna bodaboda wana vichwa vyao vya asubuhi na jioni yani go and return. Unakuta anapoamka tu saa kumi na moja ana vichwa vyake kumi vya kila siku kuwapeleka na kuwarudisha kutoka kazini. Tufanye kila kichwa ni buku nne yani kwenda buku mbili kurudi buku mbili hapo sijapiga hesabu wa buku tano nawale wakudaka njiani na kijiweni
Vipi wasiona vichwa vyao je hio 50k wanaipata in constant basis
 
boda boda kufika 50 n ngumu mnooo tofauti na hapo n dili za magendo
Inategemea na mazingira na wewe unavyo jiongeza, plus ubunifu.. mimi nina experience. Tatizo wengi mnao bisha, hamjawahi kufanya..

Japokuwa kuna wengine, hawapati hiyo.. kwasababu tofauti tofauti.. Mtaa unahitaji akili..
 
Nioneshe bodaboda anayesomesha mtoto wake shule ya Ada mil 2 kwa mwaka

Nioneshe bodaboda anayetembelea Halphard

Nioneshe bodaboda aliyejenga Nyumba vyumba vitatu self jiko nyumba ya security ..choo cha public. Nk

.





Nioneshe bodaboda wa hivyo
Tunaangalia archivment na sio Earning
 
Boda boda, salange wa stand wale waita abiria, ni moja ya makundi yenye mzunguko mkubwa wa pesa kwa mwenye akili ukweli wameendelea mno, kuliko mtu anavoweza kufikiri, au wale wauza oil chafu na matairi chakavu wanakunja mtonyo wa maana tu, au wale wanaofanya delivery ya maziwa kwa magari hasa fresh na mtindi saa tatu asubuhi wanafunga hesabu, mambo mengi muda mchache , kazi sio hadi uajiriwe halafu ajira zimekua chache hizi challenge wengine ziwajenge na tukubali maoni ya wengine hata kama ni tofauti na yetu lakini wengine hutoa uzoefu kutokana na kuyaishi maisha ya utumishi wa umma na kuamua kuachana nayo, wengine waliachana na utumishi wa umma wakiwa wamefika level za wakuu wa idara na wanafanya mambo yao kwa sasa kimyakimya sii kila apingaye kitu ni mbugila tu hapo lazima tuelewe
 
Kuna mjadala unawaka Moto kwenye jukwaa la MMU kuwa Kati ya mwalimu na bodaboda yupi yupo kwenye sehemu nzuri ya kipato na kuendesha maisha yake ya kila siku.

Iko hivi :bodaboda akitulia vizuri na akajenga uamini Kwa wateja Kwa siku hakosa elfu hamsini mpaka sitini ukipiga Kwa mwezi ni mara tano ya mshahara WA mwalimu anaelipwa laki nne au 5 Kwa mwezi. Hata hivyo bodaboda pesa Yao Ina-vary ila Hawa maticha ipo fixed mpaka miaka mitano au sita atakapopanda daraja [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28].

Nafunga mjadara sasa. Mwalimu ni kada ya mwisho kwenye kipato hata muuza magazeti anampita
Una akili ndogo sana.
Uwezo wako wa kufikiri mdogo sana
 
Back
Top Bottom