Ukweli ni kwamba bodaboda ana fursa na anamzidi kipato Mwalimu

Ukweli ni kwamba bodaboda ana fursa na anamzidi kipato Mwalimu

Bodaboda anayekunja 50K hadi 60K kwa siku anapakia mawaziri au akina nani?
Tuache kuleta uongo wa kingese kiasi hiki hapa JF.
Kila sehemu kuna rundo la bodaboda inakuwaje hadi bodaboda mmoja apate average ya 60K kwa siku? Au anabeba wahamiaji haramu au mirungi au bangi?
Mleta mada umeamua kuja kujipa mashavu hapa JF!!?
Mwalimu jicho nyanya
 
Lazima wewe utakua mwalimu unaandamwa na mikopo mbalimbali jumlisha bodi ya mikopo, nmb wachukue chao, salary laki na 30 kazi haina overtime, wala allowance yoyote hapo ndio utaona kivumbi na jasho
Jichange acc zako zoooote afu nakuletea acc ya mwl mmoja tu tena ungana na wenzako watatu

Mpimane maendeleo utajiona wewe masikini shida hujajua
 
Tuseme ukweli either muongezewe mishahara na stahiki nyingine lakini mwalimu unachomshinda Bodaboda ni uwezo wa kukopa tena uwe unakopesheka sasa, mwalimu kumaliza mwaka ana balance ya milioni mbili huyo anatakiwa heshima
Milion mbili kwako hela?
 
Mwalimu pekee Tanzania niliewahi kumkuta na kumuona anaakili ni mchaga mmoja yuko mpanda huko, alipofika kule wenzake wanahangaika kuhama kule yeye akaanza kutafuta mashamba akawa anapanda miti ya mbao, alivonihadithia haraka sana akaanza kutafuta mashamba akawa analima mpunga, kila mwaka anaongeza ardhi, kiasi miaka ile nafika kule yule mchaga alikua miti hajaanza kuvuna lakini mpunga ana stock hadi gunia 700, huyo nilikaa chini kumsikiliza nikaona hakuna mchaga fala hasa akikuta kuna ardhi sehemu, yule kwa sasa nadhani atakua mbali sana,
Ondoka mpanda njoo mpimbwe kuna mwalimu acc ana milion 700 na primary
Mambo kibao anafanya
 
Mimi ni wakiume mkuu
[emoji2959][emoji2959][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji28][emoji28][emoji2959][emoji2959][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
JamiiForums-1613187367.gif


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom