Ukweli ni kwamba bodaboda ana fursa na anamzidi kipato Mwalimu

Ukweli ni kwamba bodaboda ana fursa na anamzidi kipato Mwalimu

Mbona mgumu kuelewa, madeni sio mazuri. Akikopa anakuwa fukara wa kutupwa mshahara chini ya moja ya Tatu unaishi maisha magumu kama shoe shine
Sasa ndugu yangu aliyekuambia walimu wote waliokopa wana Maisha magumu Nani? Na pili bodaboda wote wanavipato vizuri Nani? Kila kitu kina risk factors wapo bodaboda waliouliwa kwa kazi hiyo, waliofungwa, waliopata ajali na wasitimize hayo unayosema
 
Kuwa na hela usalama itategemea kitengo ulichopo wapo wafagiaji mshahara wa kifagiaji wapo manes usalama mshahara wa kines
Wapo watendaji
Mshahara wa kitendaji
Mwenye kitengo cha chini analipwa sio chini ya million tano
 
Milion mbili kwako hela?
Kabisa mkuu sio million mbili. Million moja tu Kwa mwalimu shida ndio mana kwenye benki mshahara ukitoka tu nivurugu tupu hewa inakuwa nzito pananuka wamebanana na masulupwete Yao kama malofa
 
Siku nyingine ukianza Ubishii....uwe na akili

Hiyo ni basic ya mshahara wa mwalimu Sayansi ambaye hana hata mwaka kazini....Alafu hiyo ni TGTS D3, then unaanza kusema etii laki 9 ni umri wa kustaafu.....

IMG-20221110-WA0001.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom