Ukweli ni kwamba bodaboda ana fursa na anamzidi kipato Mwalimu

Ukweli ni kwamba bodaboda ana fursa na anamzidi kipato Mwalimu

Kweli kabisa mtoa mada upo sahihi bodaboda anamzidi kipato mwalimu lakini bodaboda hamzidi maisha mwalimu

Hapo ndio ungalie kipi bora kipato Bora au maisha Bora

KWAKUA NI MJAADALA WA WATOTO WA CHUO MWAKA WA KWANZA NAISHIA HAPA UKIPATA EXPOSURE YA MAISHA NDIO UTAJUA KIPATO SI UTAJIRI
Fact
 
Kuna mjadala unawaka Moto kwenye jukwaa la MMU kuwa Kati ya mwalimu na bodaboda yupi yupo kwenye sehemu nzuri ya kipato na kuendesha maisha yake ya kila siku.

Iko hivi :bodaboda akitulia vizuri na akajenga uamini Kwa wateja Kwa siku hakosa elfu hamsini mpaka sitini ukipiga Kwa mwezi ni mara tano ya mshahara WA mwalimu anaelipwa laki nne au 5 Kwa mwezi. Hata hivyo bodaboda pesa Yao Ina-vary ila Hawa maticha ipo fixed mpaka miaka mitano au sita atakapopanda daraja [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28].

Nafunga mjadara sasa. Mwalimu ni kada ya mwisho kwenye kipato hata muuza magazeti anampita
Mwalimu kwa kazi yake anakopesheka, hivyo akafanya biashara ikiwepo hiyo bodaboda.
 
Kwani bodaboda hiyo milioni mbili ametoa wapi? Wengi sio zao huwa wanaajiriwa kwa mkataba. Mwalimu kwa mshahara wake anakopesheka zaidi ya hiyo milioni mbili
Bodaboda hufanya kazi Kwa mkataba wa mwaka mmoja (mara nyingi) baada ya hapo inakuwa yakwake
 
Kweli kabisa mtoa mada upo sahihi bodaboda anamzidi kipato mwalimu lakini bodaboda hamzidi maisha mwalimu

Hapo ndio ungalie kipi bora kipato Bora au maisha Bora

KWAKUA NI MJAADALA WA WATOTO WA CHUO MWAKA WA KWANZA NAISHIA HAPA UKIPATA EXPOSURE YA MAISHA NDIO UTAJUA KIPATO SI UTAJIRI
Kwani kipato sindopesa, manake maisha yake mazuri
 
Ee ndio tunakuambia mwalimu kwa kazi yake no rahisi kukopesheka na mabenki akawa na hiyo bodaboda hiii ndio point ya msingi
Mbona mgumu kuelewa, madeni sio mazuri. Akikopa anakuwa fukara wa kutupwa mshahara chini ya moja ya Tatu unaishi maisha magumu kama shoe shine
 
Back
Top Bottom