Ukweli ni kwamba bodaboda ana fursa na anamzidi kipato Mwalimu

Hakuna mfano mwingine zaidi ya mwalimu? Vipi kama tukimuweka bank teller badala ya mwalimu?
 
Ni bora usiandije usiyoyajua maana ni kama uliaminishwa na mjinga mmoja ujaamini. Mambo ya idarabya ya elimu hayako hivi na huna uelewa lolote. Nyie ndo mnaaminisha watu mtaani kwamba mwalimu analilipwa laki3 mara laki5.. endeleeni kukaa hivyo hivyo maana hata ukijua uhalisia wa idara ya elimu havikusaidii wewe maisha. Ungekuwa na kazi unapata mshahara usingekuwa na muda wa kuandika upuuzi.
 
Kaulize walimu wanaofundsha....

Shule za Shirika la Elimu Kibaha

Kibaha boys
Tumbi
Kibaha Girls

Tokaa kaulizee mishahara ya Walimu wa Chang'ombe mazoezi pale DUCE
MLIMAN PRIMARY SCHOOL
BUNGE PRIMARY SCHOOL
OLIMPIO

Then uje ubishe kuwa hakna walimu tena wa serikali wanalipwaa 2.5m

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujui chochote Kaa kimya
 
Tatzo lenu walimu mpk mnadhalaurika ni unafki,chuki na usengenyaji na kinachotia hasira zaidi ni namna mnavotumika na wanasiasa ambao hata hawajali maslahi yenu..

Badilikeni mheshimiwe
Hhhahaha [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sure
 
Hhhahaha sentensi ya mwisho hiyo chukua soda Kwa mangi nitalipa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…