unajua mahesabu ya kwenye makaratasi na mdomoni ni tofauti na uhalisia inawezekana kuna boda boda anaweza pata 50 on daily basis lakini ni wachache sana bodaboda walio wengi ni 20 tzsWengi watakuambia kakunja 30000 ila hawajui mafuta ya shiling ngapi yametumika