Ukweli ni kwamba bodaboda ana fursa na anamzidi kipato Mwalimu

Ukweli ni kwamba bodaboda ana fursa na anamzidi kipato Mwalimu

Hao WA namna hyo ni asilimia ngapi ya wote? Yaan bdbda wanachomwa juá unakuta anakaa massa 4 ndo wanagombania buku aje amzidi mwalimu? Hebu acha futuhi,waalimu wengi ndio wamenunua hizo boda na kuwaajiri
Kuwa mwelewa wewe kila lisaa hakosa buku tano
 
Kazi za vyombo vya usafiri Tz ni laana! Na c tanzania pekee japo kwingine kuna afadhali kuliko Tz!

Yesu mwokozi aliyajua haya na ndio maana akaagiza punda tu japo kulikua na magari ya kukokota kwa punda na hapo ndipo alipo haramisha hivi vyombo!

Huo uwezo wa bodaboda kupata elfu50/dei haiwezekani na hata ikitokea sio kwa mahesabu hayo unayo piga na kadiri zinavyo zidi kua nyingi ndio mtihani wa kupata pesa unapo zidi kua mkubwa


Angalizo: breki za bodaboda ni HONI

Sent using Jamii Forums mobile app
Haelewi huyu jamaa...bajaji tu zenyewe kupata hesabu ya elfu ishirini kazi sembuse boda boda.
 
mbona wako wenye nyumba, naona hapa watu wanachanganya kuna tofauti kubwa ya Boda wa Mjini Kariakoo, Goms, Magomeni Chanika, kinondoni n.k na wa vijijini wabeba mkaa na maji na samakii na wanotembeza nyama kwenye bucha. Inategemea wako walevi na makini na wengine hawajiongezi tu.

Saa 10 usiku mpaka saa 12 asubui boda tayari kesha sambaza nyama bucha kibao na hela ndefu anayo mfukoni anapumzika na kuja kujazia tu baadae, ndio maana utana boda nae pikipikiyake anatoa ajira kwa jamaa wa dei waka. kijiweni kama daladala

Na vijijini kuna hela ndefu ila mafuta bei mbaya hamna sheli. Huko bush maji buku na boda trip 1 anabeba dumu 6. we unafikiri trip ngapi anapiga,na maji anachota bure kisimani na kwenye bomba shs 200


Kifupi tu posta , Kisutu uko trip za Buku chache sana. Ndio maana hata pamoja na kukamatwa na kupigwa mizinga na traffic hawatokii, kuna hela kule.

Jirani yangu hapa ana boda lake sasa ivi yeye hataki abiria tena anasomba mkaa tu mpaka kajenga ana mke watoto 4 na sasa ana stoo kwenye nyumba yake na gunia linakaa siku 2 tu. Hana kazi nyingine.
Safi kabisa
 
Back
Top Bottom