Ukweli ni kwamba bodaboda ana fursa na anamzidi kipato Mwalimu

Ukweli ni kwamba bodaboda ana fursa na anamzidi kipato Mwalimu

Iv ni mwalimu gani anayezungumziwa hapa,wa shule ya msingi au wa sekondari wa chuo au chuo kikuu uzi wako haupo specified kana kwamba walimu wote wanalipwa hiyo laki 4 au lak 5
Point yako ni ipi kwamba hao walimu waache kufundisha waende kweny hiyo elf 50 kwa siku ambayo siyo costant na unaisubir juan kutwa nzima !!?
 
Kwani tukisema pilot anaingiza pesa nyingi kuliko watu wamatipa tunamaanisha nao wakawe mapilot?
 
Ninaweza zaidi tena sana tu
Hujui unaloliongea ...

Kuna walimu pia wanapiga boda kama kweli inalipa kuliko ualimu nadhani wangeliacha...

ila sikupingi ilitegemeana na eneo hapo awali ila sasa daaaah pole hizo hesabu zinadanganya

Mimi mwenyewe naifaham fika hiyo shughur inalipa ila siyo kwa usawa huu sasahiv boda kama baiskel safari ya 5000 hapo awali hivi sasa unaenda kwa 500 .....
 
Back
Top Bottom