Ukweli ni kwamba bodaboda ana fursa na anamzidi kipato Mwalimu

Ukweli ni kwamba bodaboda ana fursa na anamzidi kipato Mwalimu

Kuna mjadala unawaka Moto kwenye jukwaa la MMU kuwa Kati ya mwalimu na bodaboda yupi yupo kwenye sehemu nzuri ya kipato na kuendesha maisha yake ya kila siku.

Iko hivi :bodaboda akitulia vizuri na akajenga uamini Kwa wateja Kwa siku hakosa elfu hamsini mpaka sitini ukipiga Kwa mwezi ni mara tano ya mshahara WA mwalimu anaelipwa laki nne au 5 Kwa mwezi. Hata hivyo bodaboda pesa Yao Ina-vary ila Hawa maticha ipo fixed mpaka miaka mitano au sita atakapopanda daraja [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28].

Nafunga mjadara sasa. Mwalimu ni kada ya mwisho kwenye kipato hata muuza magazeti anampita
Hakuna mfano mwingine zaidi ya mwalimu? Vipi kama tukimuweka bank teller badala ya mwalimu?
 
Ndugu mbona unakuwa kama hazimo. Nani kakudanganya madaraja yanapanda tu kama mountaineer. Unapanda daraja baada ya miaka mitano. Mwalimu aliyeanza na tgts D1 baada ya miaka kumi anakuwa F nahapo kama atakizi sifa za kupandishwa daraja maana wengine wana makosa ya kinidhamu. Hata hivyo mbona unakimbilia degree tu kwani wa certificate in primary education sio walimu. Mwalimu wa certificate shule ya msingi anapewa laki Tatu na sabini take home. Sasa Kwa mshahara huu sibora niwe muokota makopo tu
Ni bora usiandije usiyoyajua maana ni kama uliaminishwa na mjinga mmoja ujaamini. Mambo ya idarabya ya elimu hayako hivi na huna uelewa lolote. Nyie ndo mnaaminisha watu mtaani kwamba mwalimu analilipwa laki3 mara laki5.. endeleeni kukaa hivyo hivyo maana hata ukijua uhalisia wa idara ya elimu havikusaidii wewe maisha. Ungekuwa na kazi unapata mshahara usingekuwa na muda wa kuandika upuuzi.
 
Hujui chochote Kaa kimya
 
Tatzo lenu walimu mpk mnadhalaurika ni unafki,chuki na usengenyaji na kinachotia hasira zaidi ni namna mnavotumika na wanasiasa ambao hata hawajali maslahi yenu..

Badilikeni mheshimiwe
Hhhahaha [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sure
 
All in all me naona sehem yoyote ata kama unalipwa alfu tatu, ukijiongeza unaweza kupga pesa nyingi..

Kuna ticha mmoja anafundisha shule moja apa dar masomo ya physics na kemia anapigisha practical kwa madogo toka shule zingne kila somo 50k, ana centre yake ya tuition kakusanya madogo km 200+ na kila kichwa 20k per month .. inshort jamaa anapiga sn pesa sio kitoto so ni namna tu ya kujiongeza wazee

Ila hyo haifuti kwamba ualim ni kazi ya laana
Hhhahaha sentensi ya mwisho hiyo chukua soda Kwa mangi nitalipa
 
Back
Top Bottom