Kimpyempye
JF-Expert Member
- Dec 11, 2018
- 723
- 1,157
Msipende kubisha kila kitu.Kama hujui kitu jamaa kaa kimya sio kubisha tu.Ngazi ya mshahara wa TGTS H na TGTS I ni ngazi ya vyuo vikuu hiyo?Sasa fuatilia ujue hizo ngazi mbili mshahara wake shilingi ngapi.Tena hiyo TGTS I imeizidi hata hiyo 2.5 mil yenu.Mhhh! Walimu wa vyuo vikuu labda tena unazungumzia malecutrer PHd kabisa
Na huyu Mpwayungu ana kipaji hicho.Ujinga ni kipaji.
Halafu ni limbukeni pia. Hajui watumishi wa umma nchi hii wote hali zao zinafanana tu.Mishahara na maisha yao ni sawa tu ukiondoa wachache sana wenye fursa za ziada na marupurupu. Walimu wanaonekana zaidi kwa sababu ni wengi karibu nusu ya watumishi wote. Sasa yeye kila akilala akiamka yuko na Walimu tu.Jamaa anaboa kishenzi.Na hapo mwenyewe hujiona mjanja sana ame panchi maisha kumbe bwege tu.Na huyu Mpwayungu ana kipaji hicho.
Yeye anajiona mjanja wakati wengi wetu tunamwona ni Mjinga Mzungu wa Reli.Halafu ni limbukeni pia. Hajui watumishi wa umma nchi hii wote hali zao zinafanana tu.Mishahara na maisha yao ni sawa tu ukiondoa wachache sana wenye fursa za ziada na marupurupu. Walimu wanaonekana zaidi kwa sababu ni wengi karibu nusu ya watumishi wote. Sasa yeye kila akilala akiamka yuko na Walimu tu.Jamaa anaboa kishenzi.Na hapo mwenyewe hujiona mjanja sana ame panchi maisha kumbe bwege tu.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Jukwaa limeharibiwa na walimu
Waambie.. ni sawa kwani wakimzidi mwalimu kwa kipato , mwalimu amepungukiwa Nini? Waambie hata house girl wa mwalimu amemzidi mwalimu kipato lakini bado ni house girl. ... Je Kuna athari kwa mwalimu !!!!!Jamaa una hasira Kali sana baada ya kukosa kazi ya ualimu, umeona ujifariji Kwa kuwakandia.
Hao walim,wamejenga,Wana maisha mazuri, wanamiliki hizo boda zao bado anamkandia,, Afanye kazi zaidi asikae kulalamika.Waambie.. ni sawa kwani wakimzidi mwalimu kwa kipato , mwalimu amepungukiwa Nini? Waambie hata house girl wa mwalimu amemzidi mwalimu kipato lakini bado ni house girl. ... Je Kuna athari kwa mwalimu !!!!!
Huez kujua vitu kama hivi kwakua akili Yako haifanyi utafiti kabla ya kunena,Sisi ni masenior ktk sekta anuai,uliza kabla ya kuropokaAcha ufala wewe
Fanya utafiti Kabla ya kuropoka, inaonekana una chuki na waalimu huna hoja ya maanaWalimu ndohawana hata suruali
Haifanyi clear assessment anajua tu angle mojajapo umejicatogorize lkn kimsing ukiwa muajiriwa bado mjasiriamali yoyote anakuga gap tu wakt huo huo huyo huyo boda boda akivunjika hata mguu kwa wiki mbil lzm familia yake ilale njaa
Mtoa Mada hajui chochote kuhusu mfumo Wala vipato vya Hao waalimuIv ni mwalimu gani anayezungumziwa hapa,wa shule ya msingi au wa sekondari wa chuo au chuo kikuu uzi wako haupo specified kana kwamba walimu wote wanalipwa hiyo laki 4 au lak 5
Point yako ni ipi kwamba hao walimu waache kufundisha waende kweny hiyo elf 50 kwa siku ambayo siyo costant na unaisubir juan kutwa nzima !!?
Upupu mtupu,hujui hâta waalimu wanakipwaje,hujui hâta madaraja yao msingi WA hoja Yako ni eti mpangaji wako ni mwalimu kwahyo huyo mpangaji wako akiwa na Shida zake ndio u generalize?Kwani tukisema pilot anaingiza pesa nyingi kuliko watu wamatipa tunamaanisha nao wakawe mapilot?
Hujui chochoteE take home ni laki saba na themanini
WeeeHujui chochote
Hujui chochoteUpupu mtupu,hujui hâta waalimu wanakipwaje,hujui hâta madaraja yao msingi WA hoja Yako ni eti mpangaji wako ni mwalimu kwahyo huyo mpangaji wako akiwa na Shida zake ndio u generalize?
Tanzania ni mojawapo ya nchi maskini,je ni kwwmba watu wote ni maskini?
Tumia kichwa kufikiri na sio kufugia nywele
Naona ww unachuki sana na kada ya walimu udiwachukulie walimu poa kuna walimu wana TGTS G AU H, KACHUNGULIE SCALE ndio uje na huo upupu
Chizi weweFanya utafiti Kabla ya kuropoka, inaonekana una chuki na waalimu huna hoja ya maana