Ukweli ni kwamba bodaboda ana fursa na anamzidi kipato Mwalimu

Ukweli ni kwamba bodaboda ana fursa na anamzidi kipato Mwalimu

Mhhh! Walimu wa vyuo vikuu labda tena unazungumzia malecutrer PHd kabisa
Msipende kubisha kila kitu.Kama hujui kitu jamaa kaa kimya sio kubisha tu.Ngazi ya mshahara wa TGTS H na TGTS I ni ngazi ya vyuo vikuu hiyo?Sasa fuatilia ujue hizo ngazi mbili mshahara wake shilingi ngapi.Tena hiyo TGTS I imeizidi hata hiyo 2.5 mil yenu.
 
Na huyu Mpwayungu ana kipaji hicho.
Halafu ni limbukeni pia. Hajui watumishi wa umma nchi hii wote hali zao zinafanana tu.Mishahara na maisha yao ni sawa tu ukiondoa wachache sana wenye fursa za ziada na marupurupu. Walimu wanaonekana zaidi kwa sababu ni wengi karibu nusu ya watumishi wote. Sasa yeye kila akilala akiamka yuko na Walimu tu.Jamaa anaboa kishenzi.Na hapo mwenyewe hujiona mjanja sana ame panchi maisha kumbe bwege tu.
 
Yeye anajiona mjanja wakati wengi wetu tunamwona ni Mjinga Mzungu wa Reli.
 
Unazungumzia boda boda wa wapi aisee? Kama ni hawa wa kitaani kwangu wanaopata elfu 10, 18, 9, 25, 12,16 ,7 wakubiri misimu ya matukio/sikukuu wapate 40 hadi 60 ndio wafurahi basi hapo unajitekenya mwenyewe na kujichekesha!

KUMBUKA: Hapo anapambania apate mafuta na pesa ya boss wake mimi mwalimu mmiliki wa boda boda tufanye moja tu, hesabu ya salio analobaki nalo dereva najua unajua mwenyewe!
 
Jamaa una hasira Kali sana baada ya kukosa kazi ya ualimu, umeona ujifariji Kwa kuwakandia.
Waambie.. ni sawa kwani wakimzidi mwalimu kwa kipato , mwalimu amepungukiwa Nini? Waambie hata house girl wa mwalimu amemzidi mwalimu kipato lakini bado ni house girl. ... Je Kuna athari kwa mwalimu !!!!!
 
Hao walim,wamejenga,Wana maisha mazuri, wanamiliki hizo boda zao bado anamkandia,, Afanye kazi zaidi asikae kulalamika.
 
Iv ni mwalimu gani anayezungumziwa hapa,wa shule ya msingi au wa sekondari wa chuo au chuo kikuu uzi wako haupo specified kana kwamba walimu wote wanalipwa hiyo laki 4 au lak 5
Point yako ni ipi kwamba hao walimu waache kufundisha waende kweny hiyo elf 50 kwa siku ambayo siyo costant na unaisubir juan kutwa nzima !!?
Mtoa Mada hajui chochote kuhusu mfumo Wala vipato vya Hao waalimu
Msingi WA hoja yake ni eti Kuna mwalimu ni mpangaji wake ambaye ana Shida za hapa na pale kwahyo ndio akaja kuandika utumbo hapa kuwa waalimu wote Wana Shida
Hajui hâta madaraja ya waalimu
 
Kwani tukisema pilot anaingiza pesa nyingi kuliko watu wamatipa tunamaanisha nao wakawe mapilot?
Upupu mtupu,hujui hâta waalimu wanakipwaje,hujui hâta madaraja yao msingi WA hoja Yako ni eti mpangaji wako ni mwalimu kwahyo huyo mpangaji wako akiwa na Shida zake ndio u generalize?
Tanzania ni mojawapo ya nchi maskini,je ni kwwmba watu wote ni maskini?
Tumia kichwa kufikiri na sio kufugia nywele
 
Hujui chochote
 
Back
Top Bottom