Ukweli ni kwamba bodaboda ana fursa na anamzidi kipato Mwalimu

Jiheshimu bwege wewe, mm Nina degree ya sheria na ni wakili pia
Ebu weka scale za mishahara ya wanasheria na za walimu.uone kama hamfanani.

Ila nina uhakika wewe ulifeli shule,na walimu walikupiga sana bakora kwakua hukuwa na akili.na sasa umepata bodaboda na kununua smartphone unamalizia hasira kwao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwalimu unalinganisha na mwanasheria, kweli we Lofa
 
Malume uko sahii upande wa mustakabali wa kipato lkn kwa mtazamo wangu mimi mwalimu mlipe utakavyo mlipa lkn bado thamani yake haina mfano ni kama mzazi vile Huwezi kumlipa isipokuwa serikali inatakiwa kuwa tengenezea mazingila ya kujimudu katika maisha yao ya kila siku kama wanajeshi na kazalila.
 
Nenda dubai ukajionee jinsi gani takataka zinafanya kazi.

Wewe huo unga wa chaki hijionei huruma
 
Haya tuanzie hapa
A. Mwalimu ana uwezo wa kuajiri bodaboda zaidi ya 10.
B. Mwalimu ana uwezo wa kupata fursa nyingi zaidi kupitia elimu yake.
C......
Kwa akili zako unahisi bodaboda hawaja soma [emoji23][emoji23] kweli walimu mnaupeo mdogo sana yote hii ni kushinda na watoto muda mrefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…