Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
- Thread starter
- #661
Inawezekana piaAnamzidi hata mwalimu wa chuo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezekana piaAnamzidi hata mwalimu wa chuo
Ebu weka scale za mishahara ya wanasheria na za walimu.uone kama hamfanani.Jiheshimu bwege wewe, mm Nina degree ya sheria na ni wakili pia
Kumbe tumeingia cha kike kuchangia uzi wa mlevi asiyejitambua!Hapo ni walimu watatu wakijichanga ndowatakufikia
Mwalimu unalinganisha na mwanasheria, kweli we LofaEbu weka scale za mishahara ya wanasheria na za walimu.uone kama hamfanani.
Ila nina uhakika wewe ulifeli shule,na walimu walikupiga sana bakora kwakua hukuwa na akili.na sasa umepata bodaboda na kununua smartphone unamalizia hasira kwao
Sent using Jamii Forums mobile app
Soma maelezo ya threadKwani boda boda kwa siku anaingiza shingapi??na mwalimu analipwa shingapi kwa mwenzi tuanzia hapo??
Duh!kwaiyo nikutaftie boda akuoe, waalimu hauwataki tena?
Acha porojo ,Weka scale za mishahara ya WALIMU na WANASHERIA halafu useme tofauti yao iko wapi?Mwalimu unalinganisha na mwanasheria, kweli we Lofa
Wote waalimu tu kiswahili hakijui tuitor wala lecturerKuna tofauti kubwa sn kati ya teacher, tutor na lecturer mkuu
Kapitie vizuri kamusi, hapo kuna mwalimu, mhadhiri na mkufunziWote waalimu tu kiswahili hakijui tuitor wala lecturer
ukiwa mmoja wapo wa walengwa nipe jibuHizo hesabu waulize walengwa
Rejesho analopeleka ni 8000 au 10000Huyo bodaboda ndo akipiga mishe zake jioni anapeleka rejesho kwa boss wake ambaye ni Ticha Sele[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Malume uko sahii upande wa mustakabali wa kipato lkn kwa mtazamo wangu mimi mwalimu mlipe utakavyo mlipa lkn bado thamani yake haina mfano ni kama mzazi vile Huwezi kumlipa isipokuwa serikali inatakiwa kuwa tengenezea mazingila ya kujimudu katika maisha yao ya kila siku kama wanajeshi na kazalila.Kuna mjadala unawaka Moto kwenye jukwaa la MMU kuwa Kati ya mwalimu na bodaboda yupi yupo kwenye sehemu nzuri ya kipato na kuendesha maisha yake ya kila siku.
Iko hivi :bodaboda akitulia vizuri na akajenga uamini Kwa wateja Kwa siku hakosa elfu hamsini mpaka sitini ukipiga Kwa mwezi ni mara tano ya mshahara WA mwalimu anaelipwa laki nne au 5 Kwa mwezi. Hata hivyo bodaboda pesa Yao Ina-vary ila Hawa maticha ipo fixed mpaka miaka mitano au sita atakapopanda daraja [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28].
Nafunga mjadara sasa. Mwalimu ni kada ya mwisho kwenye kipato hata muuza magazeti anampita
Sasa ccm imeingiaje hapa [emoji23][emoji23][emoji23]CCM imetengeneza mazingira ya walimu kudharauliwa hadi na ma jobless
Nenda dubai ukajionee jinsi gani takataka zinafanya kazi.Pesa tamu ila haina maana kama hauna uhai mzee, kiufupi hauko serious, walimu wanamafao wanabima za afya kubwa na familia nzima izo hamsini hamsini za boda akiumwa malaria tu na vile hazalishi tayari amefukuzwa na mwenye nyumba.
Kiufupi ni takataka na nchi zinazojielewa huwezi kuacha vijana wanateseka hivi kitaa na hivi vikata miguu, ni bora wachangabye mitaji wakalime.
Kwa akili zako unahisi bodaboda hawaja soma [emoji23][emoji23] kweli walimu mnaupeo mdogo sana yote hii ni kushinda na watoto muda mrefuHaya tuanzie hapa
A. Mwalimu ana uwezo wa kuajiri bodaboda zaidi ya 10.
B. Mwalimu ana uwezo wa kupata fursa nyingi zaidi kupitia elimu yake.
C......