Ukweli ni kwamba bodaboda ana fursa na anamzidi kipato Mwalimu

Ukweli ni kwamba bodaboda ana fursa na anamzidi kipato Mwalimu

Jiheshimu bwege wewe, mm Nina degree ya sheria na ni wakili pia
Ebu weka scale za mishahara ya wanasheria na za walimu.uone kama hamfanani.

Ila nina uhakika wewe ulifeli shule,na walimu walikupiga sana bakora kwakua hukuwa na akili.na sasa umepata bodaboda na kununua smartphone unamalizia hasira kwao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ebu weka scale za mishahara ya wanasheria na za walimu.uone kama hamfanani.

Ila nina uhakika wewe ulifeli shule,na walimu walikupiga sana bakora kwakua hukuwa na akili.na sasa umepata bodaboda na kununua smartphone unamalizia hasira kwao

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwalimu unalinganisha na mwanasheria, kweli we Lofa
 
Kuna mjadala unawaka Moto kwenye jukwaa la MMU kuwa Kati ya mwalimu na bodaboda yupi yupo kwenye sehemu nzuri ya kipato na kuendesha maisha yake ya kila siku.

Iko hivi :bodaboda akitulia vizuri na akajenga uamini Kwa wateja Kwa siku hakosa elfu hamsini mpaka sitini ukipiga Kwa mwezi ni mara tano ya mshahara WA mwalimu anaelipwa laki nne au 5 Kwa mwezi. Hata hivyo bodaboda pesa Yao Ina-vary ila Hawa maticha ipo fixed mpaka miaka mitano au sita atakapopanda daraja [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28].

Nafunga mjadara sasa. Mwalimu ni kada ya mwisho kwenye kipato hata muuza magazeti anampita
Malume uko sahii upande wa mustakabali wa kipato lkn kwa mtazamo wangu mimi mwalimu mlipe utakavyo mlipa lkn bado thamani yake haina mfano ni kama mzazi vile Huwezi kumlipa isipokuwa serikali inatakiwa kuwa tengenezea mazingila ya kujimudu katika maisha yao ya kila siku kama wanajeshi na kazalila.
 
Pesa tamu ila haina maana kama hauna uhai mzee, kiufupi hauko serious, walimu wanamafao wanabima za afya kubwa na familia nzima izo hamsini hamsini za boda akiumwa malaria tu na vile hazalishi tayari amefukuzwa na mwenye nyumba.

Kiufupi ni takataka na nchi zinazojielewa huwezi kuacha vijana wanateseka hivi kitaa na hivi vikata miguu, ni bora wachangabye mitaji wakalime.
Nenda dubai ukajionee jinsi gani takataka zinafanya kazi.

Wewe huo unga wa chaki hijionei huruma
 
Haya tuanzie hapa
A. Mwalimu ana uwezo wa kuajiri bodaboda zaidi ya 10.
B. Mwalimu ana uwezo wa kupata fursa nyingi zaidi kupitia elimu yake.
C......
Kwa akili zako unahisi bodaboda hawaja soma [emoji23][emoji23] kweli walimu mnaupeo mdogo sana yote hii ni kushinda na watoto muda mrefu
 
Back
Top Bottom