Kila kitu walimu aisee walimu sijui wana niniBodaboda wanapata pesa sana ila tatizo ni nidhamu ya matumizi ya hiyo pesa.
Kwa kijana mwenye pikipiki yake binafsi, kwa mwezi anaingiza pesa nyingi sana, naona umewatolea mfano walimu lakini ukweli ni kwamba anaweza kumzidi mtu yoyote ambaye kwa mwezi mshahara wake ni chini ya laki saba.
Tatizo linarudi pale pale, nidhamu ya matumizi.
[/CENTER]
Mjini kuna mishe nyingi sana zinazo taka isafiri wa haraka nao ni bodaboda kama vile kufanya delivary ya mizigo, kutumwa , kipakia abilia nkBodaboda anayekunja 50K hadi 60K kwa siku anapakia mawaziri au akina nani?
Tuache kuleta uongo wa kingese kiasi hiki hapa JF. Kila sehemu kuna rundo la bodaboda inakuwaje hadi bodaboda mmoja apate average ya 60K kwa siku? Au anabeba wahamiaji haramu au mirungi au bangi?
Mleta mada umeamua kuja kujipa mashavu hapa JF!!?
Nawewe huu ubishi utauacha kipindi utakapo kuwa hoi moi kitengo cha mapafu1. Upuuzi wako huu hutarudia kuandika utakapoenda kitengo cha mifupa Muhimbili.
2. Nionyeshe nyumba ya kisasa yenye choo ndani na master bedroom iliyojengwa na bodaboda.
Nilicho kiona hapa watu wanapambania heshima tu maana kwenye vipato wanachuanaWakati nikiwa sekondari niliupenda ualimu. Baada ya kwenda high schoo niliuchukia. Chuo kikuu sikuchukuwa ualimu, lakini baadaye nilijikuta nimekuwa mwalimu, na hadi leo sijatamani kazi nyingine zaidi ya kufundisha, ndiyo maana nimefundisha zaidi ya miaka 40.
Tatizo watu mkisikia bodaboda mnajua ni watu ambao hawana shule[emoji23][emoji23][emoji23] mzee kuna degree nyingi sana kwenye boda na bajaji nowdaysUnaongea usichokijua...
Maprofessor pia ni waalimu.....
Unajua wanalipwa sh.ngapi?
Hebu FUTA this rubbish. Let everyone apambane kupata ugali wake, at the end mwenye akili ndo atatoboa kwenye Hali yoyote ya maisha.
Umeandika kishabiki na umejaa mihemko. Siyo kweli hata kidogo. Hakuna bodaboda anayepata elfu 50 au 60 kwa siku.Iko hivi :bodaboda akitulia vizuri na akajenga uamini Kwa wateja Kwa siku hakosa elfu hamsini mpaka sitini
Moderator, ikiwapendeza futeni huu ujinga. Katika jamii ya Watanzania kuna wafanyakazi wengi tu wa serikali. Hivyo sijaona logic ya huyu kijakazi wa Mo Dewji, katika kitengo cha kusambaza pikipiki aina ya boxer nchini, kuja na huu uzi wake wa kipuuzi.
Yaani unapata kabisa ujasiri wa kumlinganisha mwalimu na bodaboda! Hopeless kabisa.
Hizi hoja za kijinga boda Mimi naweza kuiita Kama kachumbali sio Mboga lakini unaweza kulia ugaliKatika nyakati tofauti humu kumekuwa na minyukano isiyo rasmi kwa waendesha boda dhidi waalimu. Wanabishania vipato vyao. Boda anamwambia mwalimu huniweki kifedha, mwalimu naye anamwambia boda huniwezi kimshahara na fursa...
Wewe jamaa sikujua kama ni punguani kiasi hiki. Sasa mambo ya Mo yanaingiaje hapa. Unakuwa mjinga mpaka mifupa. Unakuwa hater mpaka makalio. Kwa hiyo wakiunganisha wewe unafaidika nini hapo?Hongereni Moderator kwa kuunganisha huu uzi.
Mpaka muda huu matokeo ni haya hapa;Wewe jamaa sikujua kama ni punguani kiasi hiki. Sasa mambo ya Mo yanaingiaje hapa. Unakuwa mjinga mpaka mifupa. Unakuwa hater mpaka makalio. Kwa hiyo wakiunganisha wewe unafaidika nini hapo?
Naongeza dk 30Mpaka muda huu matokeo ni haya hapa;
Boda boda za Mo (aina ya boxer) 0
Walimu 3
Mpira ni dakika ya 90!
Nb: acha kuiga akili za Mpwayungu
Yaani hata kama ni dharau kwa walimu, this is too much!! Mwalimu kumlinganisha na boda boda, siyo fair hata kidogo.Naongeza dk 30