Ukweli ni kwamba bodaboda ana fursa na anamzidi kipato Mwalimu

Ukweli ni kwamba bodaboda ana fursa na anamzidi kipato Mwalimu

Bodaboda wanapata pesa sana ila tatizo ni nidhamu ya matumizi ya hiyo pesa.

Kwa kijana mwenye pikipiki yake binafsi, kwa mwezi anaingiza pesa nyingi sana, naona umewatolea mfano walimu lakini ukweli ni kwamba anaweza kumzidi mtu yoyote ambaye kwa mwezi mshahara wake ni chini ya laki saba.

Tatizo linarudi pale pale, nidhamu ya matumizi.
[/CENTER]
Kila kitu walimu aisee walimu sijui wana nini
 
Bodaboda anayekunja 50K hadi 60K kwa siku anapakia mawaziri au akina nani?

Tuache kuleta uongo wa kingese kiasi hiki hapa JF. Kila sehemu kuna rundo la bodaboda inakuwaje hadi bodaboda mmoja apate average ya 60K kwa siku? Au anabeba wahamiaji haramu au mirungi au bangi?

Mleta mada umeamua kuja kujipa mashavu hapa JF!!?
Mjini kuna mishe nyingi sana zinazo taka isafiri wa haraka nao ni bodaboda kama vile kufanya delivary ya mizigo, kutumwa , kipakia abilia nk
 
1. Upuuzi wako huu hutarudia kuandika utakapoenda kitengo cha mifupa Muhimbili.
2. Nionyeshe nyumba ya kisasa yenye choo ndani na master bedroom iliyojengwa na bodaboda.
Nawewe huu ubishi utauacha kipindi utakapo kuwa hoi moi kitengo cha mapafu
 
Wakati nikiwa sekondari niliupenda ualimu. Baada ya kwenda high schoo niliuchukia. Chuo kikuu sikuchukuwa ualimu, lakini baadaye nilijikuta nimekuwa mwalimu, na hadi leo sijatamani kazi nyingine zaidi ya kufundisha, ndiyo maana nimefundisha zaidi ya miaka 40.
Nilicho kiona hapa watu wanapambania heshima tu maana kwenye vipato wanachuana
 
Unaongea usichokijua...
Maprofessor pia ni waalimu.....
Unajua wanalipwa sh.ngapi?
Hebu FUTA this rubbish. Let everyone apambane kupata ugali wake, at the end mwenye akili ndo atatoboa kwenye Hali yoyote ya maisha.
Tatizo watu mkisikia bodaboda mnajua ni watu ambao hawana shule[emoji23][emoji23][emoji23] mzee kuna degree nyingi sana kwenye boda na bajaji nowdays
 
Katika nyakati tofauti humu kumekuwa na minyukano isiyo rasmi kwa waendesha boda dhidi waalimu. Wanabishania vipato vyao. Boda anamwambia mwalimu huniweki kifedha, mwalimu naye anamwambia boda huniwezi kimshahara na fursa.

Nadhani tubishane kwa kina na kisha tuwaamulie hawa ndugu zetu.

Ubishani wetu utajikita kwenye kipato na fursa za kutengeneza kipato zaidi. Fursa za kupiga mambo yetu ya totoz tutajadili wakati mwingine.

Wote tunajua mwalimu ana uhakika wa mwisho wa mwezi. Japo wakishakopa mkono usio wa biashara wanaishi maisha ya kuungaunga sana. Mikopo mingine ni ya kudhalilisha, unakuta ATM card ya ticha imeshikiliwa na kampuni. Boda wanawajua vizuri waalimu maana wanawakopa sana usafiri kulipa mwisho wa mwezi tena kwa mbinde.

Boda naye sio hapa. Akiwa na malengo anaweza kufanya saving ya maana akauzidi mshahara wa mwalimu. Boda mwenye chombo chake anaweza kumzidi mbali kidogo mwalimu kwani anaweza kusave hata 25,000. Shida ipo kwenye uhakika. Biashara ikiyumba anapata taabu kama mwalimu aliyepokonywa ATM card.

Nawatakia battle njemaaaaaaaa. Asalam aleikum
 
Huyo boda boda anawez mshinda hata daktar na huyo mwl anaweza kumshinda hata asifa usalam , ni mambo ambayo hayapimik tuu kwakuw kila mmoja anakil zake za kujiongeza Tena mbaya zaid unafanisha mtu alie ajiriwa na asie ajiriwa hapo sion msing wa mada

Violence pufuu
 
Sijui ametumia nn kufikiria hadi kuleta hii mada ,

Vijana wa elfu2 hawa.
Moderator, ikiwapendeza futeni huu ujinga. Katika jamii ya Watanzania kuna wafanyakazi wengi tu wa serikali. Hivyo sijaona logic ya huyu kijakazi wa Mo Dewji, katika kitengo cha kusambaza pikipiki aina ya boxer nchini, kuja na huu uzi wake wa kipuuzi.

Yaani unapata kabisa ujasiri wa kumlinganisha mwalimu na bodaboda! Hopeless kabisa.
 
Katika nyakati tofauti humu kumekuwa na minyukano isiyo rasmi kwa waendesha boda dhidi waalimu. Wanabishania vipato vyao. Boda anamwambia mwalimu huniweki kifedha, mwalimu naye anamwambia boda huniwezi kimshahara na fursa...
Hizi hoja za kijinga boda Mimi naweza kuiita Kama kachumbali sio Mboga lakini unaweza kulia ugali
 
WATUMISH wengi wa local government wanafanana vpato na maisha na Tabia kimaisha zpo kweny kada zote swala la kipato /maendeleo cha mtu alie ajiriw lazm kilinganishwe na mwajiriwa mwenzake wenye mazingira sawa (uhusiano kimshara na mazingra ya kazi ) ukishafanya hvyo matokeo ya maendeleo sasa huja kutokan na mpangalio/matumiz ya vipato wanavyopata

Ila tatzo la Watz kila mmoja anamjua mwl either kwakuw amemfundsha au ndio kundi kubwa linalopatkn lakn ninao washikj ambao ni walimu wanavipato ata KUliko hao wakina DC na wakuu wa vitengo
 
Walimu kipindi cha nyerere waliheshimika sana, lakini kipindi hiki kila kitu kiovu na kichafu au kisicho na hadhi ndo saizi yao.nadhani ni tabia yao ya kushiriki sana uchaguzi.
 
Wewe jamaa sikujua kama ni punguani kiasi hiki. Sasa mambo ya Mo yanaingiaje hapa. Unakuwa mjinga mpaka mifupa. Unakuwa hater mpaka makalio. Kwa hiyo wakiunganisha wewe unafaidika nini hapo?
Mpaka muda huu matokeo ni haya hapa;

Boda boda za Mo (aina ya boxer) 0
Walimu 3

Mpira ni dakika ya 90!

Nb: acha kuiga akili za Mpwayungu
 
Naongeza dk 30
Yaani hata kama ni dharau kwa walimu, this is too much!! Mwalimu kumlinganisha na boda boda, siyo fair hata kidogo.

Maana wapo walimu kibao tu wamewapa hao boda boda, pikipiki za mikataba! Halafu unakuja kuwalinganisha!! Eti kisa tu salary slip zao zina madeni!
 
Back
Top Bottom