Sonara7
Member
- Oct 23, 2022
- 96
- 127
Kila kitu walimu aisee walimu sijui wana niniBodaboda wanapata pesa sana ila tatizo ni nidhamu ya matumizi ya hiyo pesa.
Kwa kijana mwenye pikipiki yake binafsi, kwa mwezi anaingiza pesa nyingi sana, naona umewatolea mfano walimu lakini ukweli ni kwamba anaweza kumzidi mtu yoyote ambaye kwa mwezi mshahara wake ni chini ya laki saba.
Tatizo linarudi pale pale, nidhamu ya matumizi.
[/CENTER]