Ukweli ni kwamba bodaboda ana fursa na anamzidi kipato Mwalimu

Nadhani Leo wamekujibu Tate Mkuu
 
Walimu kipindi cha nyerere waliheshimika sana, lakini kipindi hiki kila kitu kiovu na kichafu au kisicho na hadhi ndo saizi yao.nadhani ni tabia yao ya kushiriki sana uchaguzi.
Saizi mpaka bodaboda wanawadharau
 
hizo banghe zako za kuvutia chooni utaacha lini
 
It seems ulizaliwa na mimba ya bodaboda, ni vile mshua wako kipa katoka haelewi...
 
Hivi mnacho shindwa kujua kuwa walimu wengi Sana no maboss WA Hao boda boda.

Alaf kina vitu vya kuangalia pia walimu kipato Chao ni constant Ana uhakika WA kupata iyo pesa hata kama mvua itapiga mwez nzima non stop, boda hapa anasanda,

Walimu wanayo fulsa ya kufanya mambo mengine mengi tuu kama wakiamua kama vile

Ufugaji
Bishara
Na hata boda boda walimu anaweza kufanya Lakin boda boda kamwe hato weza kuwa mwalimu [emoji23]

Mwalimu Ana uhakika WA kutibiwa Ata mwez nzima kitandan akiwa na Bima yake mshahara uhakika utaingia boda hapa mke wake ndio atanza kugongwa na mangi ili apate sukari akoroge uji apeleke kwa mumewe alie lala hata uhakika WA matibabu hakuna

Pia hatali kazin boda yupo hatarini Zaid kuumia Ata kupata ulemavu WA maisha kuliko mwalimu..

Mimi sio mwalimu ila msijaribu kushusha hadhi ya mwalimu kulinganisha Hawa boda wasiio jua hata sheria za barabarami [emoji23][emoji849]
 
Mama ake mtoa mada aliliwa na ticha mstaafu akavunja ndoa ya mama mtoa mada na baba mtoa mada ,[emoji1][emoji1][emoji1]mtoa mada akawachukia walimu woooote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…