welding1682
JF-Expert Member
- Aug 20, 2019
- 2,151
- 4,681
Ila Hana mafao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwalimu yupi Sasa hebu fafanua? Wa primary? Secondary? Upe? Collage? Au University?
Hapana tunaongea mwalimu wa shule ya Msingi na sekondari tu, naleo bodaboda wamesema wapo juu mawinguniMwl n mwl ata wa madrasa
Mwalimu sianajulikana nyie vipi bhana, naongea wa primary na sekondari tuuMwalimu yupi Sasa hebu fafanua? Wa primary? Secondary? Upe? Collage? Au University?
Mafao ya kikokotoo yanamnufaisha vp mwalimu??Ila Hana mafao.
Nadhani Leo wamekujibu Tate MkuuYaani hata kama ni dharau kwa walimu, this is too much!! Mwalimu kumlinganisha na boda boda, siyo fair hata kidogo.
Maana wapo walimu kibao tu wamewapa hao boda boda, pikipiki za mikataba! Halafu unakuja kuwalinganisha!! Eti kisa tu salary slip zao zina madeni!
Saizi mpaka bodaboda wanawadharauWalimu kipindi cha nyerere waliheshimika sana, lakini kipindi hiki kila kitu kiovu na kichafu au kisicho na hadhi ndo saizi yao.nadhani ni tabia yao ya kushiriki sana uchaguzi.
hizo banghe zako za kuvutia chooni utaacha liniKuna mjadala unawaka Moto kwenye jukwaa la MMU kuwa Kati ya mwalimu na bodaboda yupi yupo kwenye sehemu nzuri ya kipato na kuendesha maisha yake ya kila siku.
Iko hivi :bodaboda akitulia vizuri na akajenga uamini Kwa wateja Kwa siku hakosa elfu hamsini mpaka sitini ukipiga Kwa mwezi ni mara tano ya mshahara WA mwalimu anaelipwa laki nne au 5 Kwa mwezi. Hata hivyo bodaboda pesa Yao Ina-vary ila Hawa maticha ipo fixed mpaka miaka mitano au sita atakapopanda daraja [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28].
Nafunga mjadara sasa. Mwalimu ni kada ya mwisho kwenye kipato hata muuza magazeti anampita
Leohizo banghe zako za kuvutia chooni utaacha lini
Wanashirikigi sana kura sasa wanaochaguliwa wana dhambi sana, kale kalaana kanawaangukia.Saizi mpaka bodaboda wanawadharau
It seems ulizaliwa na mimba ya bodaboda, ni vile mshua wako kipa katoka haelewi...Kuna mjadala unawaka Moto kwenye jukwaa la MMU kuwa Kati ya mwalimu na bodaboda yupi yupo kwenye sehemu nzuri ya kipato na kuendesha maisha yake ya kila siku.