sengobad
JF-Expert Member
- Aug 13, 2017
- 9,008
- 8,788
Hakuna pesa pale, bali ni kuganga njaa tu, Hesabu ni bodaboda wangapi anaweza kumlipia mwanae Eng.mediam school, lkn mwl anaweza kumlipia mwanae.Ukifanya utafiti, bodaboda wanamiliki makazi yao wenyewe ni wachache kuliko wanaopanga.
Nyumba anayopanga bodaboda ni ya chumba 25,000 banda uani, bodaboda anapata pesa, ila Wanaishi maisha magumu.