HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Unastaafu 2054, maana yake kwa sasa una miaka 29Siku nyingine ukianza Ubishii....uwe na akili
Hiyo ni basic ya mshahara wa mwalimu Sayansi ambaye hana hata mwaka kazini....Alafu hiyo ni TGTS D3, then unaanza kusema etii laki 9 ni umri wa kustaafu.....
View attachment 2411926
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa miaka hiyo 32 iliyobakia utaingiza jumla ya Tsh 400,000
Hongera