Uchaguzi 2020 Ukweli ni kwamba CCM tuliiba uchaguzi kishamba

Uchaguzi ulitekwa wote, baada ya matokeo ndio mchakato wa kuwanunua Covid 19 ukalazimishwa
Waliiba Wakasahau Takwa La Lazima Kuhusu Kamati Za Bunge
Wakalazimika Kuchukua Hao Wamama Kwa Gharama
Ccm Inatia Kinyaa Mno!!!😑😐😐
 
Jackson Makweta alikuwa mbunge wa kudumu pale Njombe alikuwa hafanyi chochote na anachaguliwa
 
Ninaomba majibu. Mbona watu wengi walilia sana hata wengine kufia kwenye kuuaga mwili wake kama vile alikuwa kipenzi cha wengi. Hawakuyaona haya yaliyokuwa yakitendeka katika utawala wake ya ubaya uliopitiliza.
Watu mtaani kwenda kuaga maiti ya marehemu ni mila za Kiafrika. Hapa Dar hata Marehemu Stephen Kanumba naye alifunga mtaa kwenye msiba wake.

Hata Ruge Mutahaba naye alifunga nyomi.

Kama mtu wenu Mwendazake anakubalika si mkae kimya mtuache sisi tusiomkubali tuandike mpaka tuchoke. Wala msisome maandishi yetu
 

Tuelimishe kidogo. Ni sheria gani inayosema Bunge LAZIMA liwe na Kambi Rasmi ya Upinzani?

Kipimo cha “hii ni stronghold ya upinzani” ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…