Ukweli ni kwamba Hawa watu wamekuwa wakitutumia vibaya kwa maslahi Yao binafsi hasa fundraising,maandamano na wakiapata hawatujali
Wametufanya pampers wakitumia wanaitupa huko na kutotueleza namna gani tunaweza tumia fursa zilizopo nchini zilizowekwa na Rais Samia Suluhu na kutufanya tufaidike nazo
Wamekuwa watu wa majukwaa ya kutupumbaza na kutujengea chuki kuichukia serikali na kutufanya kusahau kufanya shughuli za maendeleo
Wamesababisha watu wawe walemavu kwa kuwapumbaza waichukie na wavuruge amani ya nchi ambayo ndio msingi wa maendeleo wa taifa lolote
Hakuna aliyewahi kupata maendeleo chini ya Giza kusipo amani
Tuwakatae kuanzia mikutano Yao,mtaani na msibani kwao