Dafu ya Shamba
Senior Member
- Jun 23, 2023
- 197
- 548
Yaani mtu akiingia JF humu alafu apitie nyuzi za siasa atajua Tz imechafuka Congo ikasome.
Ukweli ni kwamba baba yako angetumia condom, hii thread ya kipuuzi isingeandikwa hapa nchini.Ukweli ni kwamba Hawa watu wamekuwa wakitutumia vibaya kwa maslahi Yao binafsi hasa fundraising,maandamano na wakiapata hawatujali
Wametufanya pampers wakitumia wanaitupa huko na kutotueleza namna gani tunaweza tumia fursa zilizopo nchini zilizowekwa na Rais Samia Suluhu na kutufanya tufaidike nazo
Wamekuwa watu wa majukwaa ya kutupumbaza na kutujengea chuki kuichukia serikali na kutufanya kusahau kufanya shughuli za maendeleo
Wamesababisha watu wawe walemavu kwa kuwapumbaza waichukie na wavuruge amani ya nchi ambayo ndio msingi wa maendeleo wa taifa lolote
Hakuna aliyewahi kupata maendeleo chini ya Giza kusipo amani
Tuwakatae kuanzia mikutano Yao,mtaani na msibani kwao
Ukweli ni kwamba Hawa watu wamekuwa wakitutumia vibaya kwa maslahi Yao binafsi hasa fundraising,maandamano na wakiapata hawatujali
Wametufanya pampers wakitumia wanaitupa huko na kutotueleza namna gani tunaweza tumia fursa zilizopo nchini zilizowekwa na Rais Samia Suluhu na kutufanya tufaidike nazo
Wamekuwa watu wa majukwaa ya kutupumbaza na kutujengea chuki kuichukia serikali na kutufanya kusahau kufanya shughuli za maendeleo
Wamesababisha watu wawe walemavu kwa kuwapumbaza waichukie na wavuruge amani ya nchi ambayo ndio msingi wa maendeleo wa taifa lolote
Hakuna aliyewahi kupata maendeleo chini ya Giza kusipo amani
Tuwakatae kuanzia mikutano Yao,mtaani na msibani kwao
Ni red brigade au,mtiifu kwa mwenyekitiUtafiti ulipotolewa kwamba watanzania wengi wana matatizo ya afya ya akili watu waliona kama vile wameonewa lakini kuna vitu ukiviona unaona kabisa utafiti ulikua sahihi, bila shaka mtoa mada una matatizo ya akili
Watanzania tumestuka,siasa za akina Martin Luther king Jr and Malcolm X hazipo mtaumia sana fanyeni modern politics zenye uthubutu wenye vitu tangible kama mama anavoweka miundombinu,jengwni ofisi sio kupanga kwenye Nyumba za watu, ofisi kama duka au barHata mkono wako unakushangaa unavyoandika
Wewe na chadema mko pamoja since when?
Cheap propaganda hazina msingi
Bakia na ccm yako waachie watu na chadema yao
Fighting Samia's regime is not obeying the government but it is about holding it accountable. Obedience to a compromised government like CCM of Samia, accepting injustice, inefficiency, or abuse of power without question is NOT peace.Ukweli ni kwamba Hawa watu wamekuwa wakitutumia vibaya kwa maslahi Yao binafsi hasa fundraising,maandamano na wakiapata hawatujali
Wametufanya pampers wakitumia wanaitupa huko na kutotueleza namna gani tunaweza tumia fursa zilizopo nchini zilizowekwa na Rais Samia Suluhu na kutufanya tufaidike nazo
Wamekuwa watu wa majukwaa ya kutupumbaza na kutujengea chuki kuichukia serikali na kutufanya kusahau kufanya shughuli za maendeleo
Wamesababisha watu wawe walemavu kwa kuwapumbaza waichukie na wavuruge amani ya nchi ambayo ndio msingi wa maendeleo wa taifa lolote
Hakuna aliyewahi kupata maendeleo chini ya Giza kusipo amani
Tuwakatae kuanzia mikutano Yao,mtaani na msibani kwao
I hate negativity,any way proceed with ur perception,but never dare to go to kisutu on April 28Fighting Samia's regime is not obeying the government but it is about holding it accountable. Obedience to a compromised government like CCM of Samia, accepting injustice, inefficiency, or abuse of power without question is NOT peace.
Wakikutumia wewe na nani? Pimbi wewe! Nchi imejaa wezi na mafisadi ww unaongea upumbavu sana!Ukweli ni kwamba Hawa watu wamekuwa wakitutumia vibaya kwa maslahi Yao binafsi hasa fundraising,maandamano na wakiapata hawatujali
Wametufanya pampers wakitumia wanaitupa huko na kutotueleza namna gani tunaweza tumia fursa zilizopo nchini zilizowekwa na Rais Samia Suluhu na kutufanya tufaidike nazo
Wamekuwa watu wa majukwaa ya kutupumbaza na kutujengea chuki kuichukia serikali na kutufanya kusahau kufanya shughuli za maendeleo
Wamesababisha watu wawe walemavu kwa kuwapumbaza waichukie na wavuruge amani ya nchi ambayo ndio msingi wa maendeleo wa taifa lolote
Hakuna aliyewahi kupata maendeleo chini ya Giza kusipo amani
Tuwakatae kuanzia mikutano Yao,mtaani na msibani kwao
😆😆😆,fundraising managerWakikutumia wewe na nani? Pimbi wewe! Nchi imejaa wezi na mafisadi ww unaongea upumbavu sana!
Authoritarian control might seem like a fast track to order, but history shows us it rarely leads to long-term stability. What it often creates instead is fear and eventually rebellion. No nation thrives when its people are afraid to speak. You are digging your own grave and your family, for , your stupidity and lack of reasoning!I hate negativity,any way proceed with ur perception,but never dare to go to kisutu on April 28
Watanzania tumestuka,siasa za akina Martin Luther king Jr and Malcolm X hazipo mtaumia sana fanyeni modern politics zenye uthubutu wenye vitu tangible kama mama anavoweka miundombinu,jengwni ofisi sio kupanga kwenye Nyumba za watu, ofisi kama duka au bar
Cdm hawahitaji wanaccm kama ww wanahiraji haki. Kama huendi kazini huo ni uvivu wako, hakuna popote cdm inapotaka wavivu. Sisi tulioko na cdm ni wale tunaopenda haki na uwajibikaji. Usitisemee maana tunajitambua, hakuna uzalendo kwa serekali bali nchi.Ukweli ni kwamba Hawa watu wamekuwa wakitutumia vibaya kwa maslahi Yao binafsi hasa fundraising,maandamano na wakiapata hawatujali
Wametufanya pampers wakitumia wanaitupa huko na kutotueleza namna gani tunaweza tumia fursa zilizopo nchini zilizowekwa na Rais Samia Suluhu na kutufanya tufaidike nazo
Wamekuwa watu wa majukwaa ya kutupumbaza na kutujengea chuki kuichukia serikali na kutufanya kusahau kufanya shughuli za maendeleo
Wamesababisha watu wawe walemavu kwa kuwapumbaza waichukie na wavuruge amani ya nchi ambayo ndio msingi wa maendeleo wa taifa lolote
Hakuna aliyewahi kupata maendeleo chini ya Giza kusipo amani
Tuwakatae kuanzia mikutano Yao,mtaani na msibani kwao
Tunatakiwa tuishe wote kuliko kuongozwa kama mazombie.Mdogo wake Marin Luther na movement zenu mtaisha nawaambia
Vipi wafuasi wa Makalla?Well said mkuu!! Wafuasi hasa wa Lissu akili zao sawa na za ng'ombe tu.
Bora fisi anjua kushmbuliaVipi wafuasi wa Makalla?
Akili zao ni sawa na za fisi.