Ukweli ni kwamba hawa watu ni wanafiki sana, na wanapenda attention za kijinga

Mlangoni ndio kwenye nafasi, hawezi kusali kwenye siti au kwenye miguu ya watu. Kumbuka sala ya kiislam ni zaidi ya maombi (dua) inaambatana na vitendo ambavyo huwezi kufanya ukiwa umekaa kwenye kiti ..

Na kama tuna-assume ni safari ndefu, basi mlangoni hakumbughudhi mtu yeyote..

.....Hawataacha kuwafuatafuata, mpaka mfuate mila zao......
 
Ukiwa na maana huyo aliyezuia ndege na zulia alikuwa na safari ndefu kwa hiyo abiria wote 360 sijui mia tano na ngapi ilibidi wamsubiri afanye anachokiita sala?

Wao inawahusu nini sala yake?
Hiyo habari ya kuzuia ndege ni barizi la Jumapili tu ( Sunday story) haina ukweli wowote
 
mkuu airport ya Viena ndege ilipozuiliwa na mtu kwa ajili ya sala au swala ina vimba zaidi ya 30 vya ibada na kumbi 3 kubwa za kuhifadhi zaidi ya watu 400 kila ukumbi.
 
Well said
 
kwamba HUYO MUNGU AU NDIO ALLAH ATAKUCHUKIA KMA SABABU UMERUKA SALA MOJA ULIOKUA KATIKA SAFARI NDEFU ?!
 
Huyo anamuomba Mungu wake moja kwa moja we si hadi upitie kwa secretary wa mungu kiboko ya wachawi na mwamposa wao ndo wakuombee
 
Hiyo habari ya kuzuia ndege ni barizi la Jumapili tu ( Sunday story) haina ukweli wowote
Aise na ile ya kutaka kugengewa msikiti katikati ya chuo, na ndio liwe jengo kubwa zaidi nayo ni story ya Friday au ?!
 
Mtoa mada ni busara kama ungeelekeza hasira zako kwa watu uliowahi kuwaona au kusikia wakifanya hivyo, ila sio kusakama waumini wote wa dini hiyo kwa makosa ya watu wachache.
 
Kuna mazingira fulani unaweza kuswali ukiwa umekaa kama dharura
 
Kuna wale wa super feo wanageuza mabasi kuwa makanisa kiufupi duniani ni kuvumiliana la si hivyo vita havitaisha
 
Magaidi hawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…