Ukweli ni kwamba hawa watu ni wanafiki sana, na wanapenda attention za kijinga

Ukweli ni kwamba hawa watu ni wanafiki sana, na wanapenda attention za kijinga

Pasipo kuathiri wengine, ningeshauri kuliko kuwadhihaki hao wafanya Ibada ni vyema sasa Vyombo vyetu vya usafiri vikatenga eneo maalumu la kufanyia Ibada kama ambavyo wameweka vyoo(maliwato) Kwa baadhi ya Mabasi.

Ndugu zanguni, suala la kuifikia pepo linahitaji kujitoa hasa na kuwa na commitment maana sio wote wanaokumbuka kufanya Ibada.
Hakuna ibada hapo
 
mkuu airport ya Viena ndege ilipozuiliwa na mtu kwa ajili ya sala au swala ina vimba zaidi ya 30 vya ibada na kumbi 3 kubwa za kuhifadhi zaidi ya watu 400 kila ukumbi.
Basi wakati mwingine ni wao wenyewe wana shida

Kama umejengewa hadi Msikitini kwanini usiende kuswali kimya kimya
 
Hujasema na wale walokole àmbao huchukua maspika na kuyaweka Barabara, vituo vya Daladala na mabasi, kwèñye mikusanyiko ya Watu na kuanza Kúpiga kelele wakidai wanahubiri neno la mungu.

Huoni kama hao nao wanasumbua Watu na kutafuta attention kilazima?

Nafikiri hiyo siô shida ya Dini Fulani Bali shida ya Watu aina Fulani ambao wàpo kwèñye Dini zilizopo
fact,....
 
Kule ulaya wanaswali mitaani sio kwamba misikiti hakuna au imejaa,basi tu ni mbinu moja wapo ya kupima misimamo ya wenyeji😁😁😁.
 
May all souls find enlightnment,

Kamwe hauwezi kuwatenganisha hawa ndugu zetu na :
  • Ujuaji
  • Uchonganishi
  • Chuki
  • Unafiki
  • Kupenda upendeleo

Unaweza kuwaita "proffessional prevelege seekers"
View attachment 3088385
Kuna mmoja mwezi wa February 2024 alizuia ndege isiruke Viena kwa kua muda wake wa kufanya sala umefika akaenda mbele ya ndege (kwenye gurudumu la mbele la ndege) akaweka mkeka akaanza kusali imagine !! 😀

Kipindi cha Magu pale UDOM jamaa walianzisha mgomo wakitaka msikiti ujengwe na wakatoa MASHARTI Kua
1. Msikiti ujengwe katikati ya chuo, na
2. liwe ndio jengo kubwa kuliko majengo YOTE, na
3. wakatoa muda lijengwe ndani ya miezi mitatu tu vinginevyo watachoma moto chuo kizima
na
4. Yeyote atakae pingana au kuzuia jambo hilo kichwa chake ni halali yao.

Aise ndio nilijua JPM alikua jiwe, zilisha defenda pale haijapata tokea ilishuhudiwa kanzu zikitoka mbio Usen Bolt akasome. Yani ndio nikagundua kumbe tunao wakimbia riadha na hatuwatumii kushinda medani za

Kwanini Mkuu, unataka kusema jamaa anaigiza kama Mafarisayo wa Enzi za Yesu?

Anatoa sadaka hadi majirani zake wajue kwamba jamaa ametoa sadaka
Exactly

Sala sio maonyesho
 
"Nyie mna dini yenu na wao wana dini yao" waacheni na mila zao ilihali hawajabuguzi nyie makafiri.. Hakuna dini inayofundisha ustaarabu kuliko uislam hao unaowatolea mifano ni wachache ktk wengi ambao wanafata maamrisjo ya dini...
 
Najivunia sehemu ya rafiki zangu wa imani tofauti sio wajinga kama mtoa mada.
 
Dini ya waarabu vs dini ya wazungu. Zote za kuja. Zipo ugenini ambako wenyeji wanajifanya ni dini zao
 
Back
Top Bottom