Ukweli ni kwamba hawa watu ni wanafiki sana, na wanapenda attention za kijinga

Hakuna ibada hapo
 
mkuu airport ya Viena ndege ilipozuiliwa na mtu kwa ajili ya sala au swala ina vimba zaidi ya 30 vya ibada na kumbi 3 kubwa za kuhifadhi zaidi ya watu 400 kila ukumbi.
Basi wakati mwingine ni wao wenyewe wana shida

Kama umejengewa hadi Msikitini kwanini usiende kuswali kimya kimya
 
fact,....
 
Kule ulaya wanaswali mitaani sio kwamba misikiti hakuna au imejaa,basi tu ni mbinu moja wapo ya kupima misimamo ya wenyeji😁😁😁.
 

Kwanini Mkuu, unataka kusema jamaa anaigiza kama Mafarisayo wa Enzi za Yesu?

Anatoa sadaka hadi majirani zake wajue kwamba jamaa ametoa sadaka
Exactly

Sala sio maonyesho
 
"Nyie mna dini yenu na wao wana dini yao" waacheni na mila zao ilihali hawajabuguzi nyie makafiri.. Hakuna dini inayofundisha ustaarabu kuliko uislam hao unaowatolea mifano ni wachache ktk wengi ambao wanafata maamrisjo ya dini...
 
Najivunia sehemu ya rafiki zangu wa imani tofauti sio wajinga kama mtoa mada.
 
Dini ya waarabu vs dini ya wazungu. Zote za kuja. Zipo ugenini ambako wenyeji wanajifanya ni dini zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…