Ukweli Ni Kwamba Hizi Ndio Industries Zinazotakiwa Kua na Leseni Kundi A

Luhamba II

Senior Member
Joined
Mar 22, 2025
Posts
137
Reaction score
219
Watu wengi wanaposajili Kampuni hua Wana stack kutafuta leseni sababu wanakua hawajui ni leseni gani hasa wanatakiwa kua nayo.

Kwenye Thread hii nimekuandikia list ya Industries ambazo zinatakiwa kua na leseni Kundi A.

1. Importation industry
Kama Kampuni yako inajihusisha na mambo ya importation basi ni lazima uwe na leseni Kundi A

2. Exportation industry
Kama biashara yako ni ya exportation una export kitu chochote kile nje ni lazima uwe na leseni Kundi A.

3. Manufacturing and processing industry

4. Refining of Crude oil
Kama Kampuni yako inajihusisha na refining ya mafuta inatakiwa kua na leseni Kundi A

5. Banking
Iwe ni commercial banking, agents, brokers, corporate banking etc ni lazima uwe na leseni Kundi A

6. Social security
Kama Kampuni yako inafanya mambo ya social securities iwe ni providers, agents, broker etc lazima uwe na leseni Kundi A.

7. Minerals and gas

8. Gold and silver Smithing

9. Capital markets
Kama unafanya biashara ya capital markets unatakiwa kisheria kutumia leseni Kundi A.

10. Stock Exchanges.

Kama Kampuni yako inafanya biashara zingine tofauti na hizi una opportunity ya kutumia leseni Kundi B, hizi nilizoandika hapa ni strictly Kundi A industry.

I hope this helps.

Kama unahitaji consultation zaidi kuhusu usajili wa Kampuni biashara au leseni unaweza kunitafuta WhatsApp au calls kwa namba hizi

0678131068

Your Favorite Lawyer.
 
Mkuu umeieleza kisomi mno,elezea vizuri Kwa walio na elimu ya std7 ,ili upate wa kukulizavwengi na kujiunga nao!
 
Kwani tofauti ya hizo lesseni nn?
Leseni Kundi A unaweza kufanya biashara nchi nzima na uka export kwa leseni hio hio.

Ukiwa na leseni Kundi B Kila wilaya unayoemda inabidi ukate leseni ingine ili uruhusiwe kufanya biashara.
 
Boss hivi inawezekana nikapata business name Kwa Muda wa siku moja?
Siku 3 inawezekana, siku moja Haina guarantee kaka, nikikuhakikishia nitakua nakudanganya.

By the way unaweza kunipogia kwa namba 0678131068 tukazungumza zaidi.
 
Back
Top Bottom