Ukweli ni kwamba, mkuu wa wilaya ya Kinondoni hafiti kabisa kuongoza wilaya yetu

Labda huwa anachagua baadhi ya maeneo hasa kwa kuangalia yale maeneo yenye wakubwa wengi, ili wasije kumshtaki kwa aliemteua na matokeo yake kitumbua chake kiingie mchanga.
 
hivi wewe kunguni una akili kweli? Umesema ni Wilaya yenye maendeleo na ina matajiri na viongozi wengi kuliko Wilaya zote nchini.

Sasa ni nini kinakufanya ulalamikie miundombinu? Hutaki Wilaya zingine ambazo zipo nyuma zipate?

Huna akili
 
MKUU WA WILAYA YA KINONDONI SAAD MTAMBULE KABLA YA HAPO ALITOKEA WILAYA YA MUFINDI NI MCHAPAKAZI SANA ALIKUSANYA MAPATO KUZIDI MALENGO KWA MIAKA MIWILI RAISI ALIVUTIWA NA UCHAPAKAZI WAKE AKAMPELEKA KINONDONI
PIA AKAMTEUA Mr COMRADE JAMES MGEGO ALIYEKUWA KATIBU WA CCM WILAYA YA MUFINDI AKAMPELEKA KINONDONI KWASABABU ILIKUWA NI MUUNGANIKO WA TIMU NZURI KWA MAENDELEO YA MUFINDI NADHANI PIA HUKO KINONDONI WANAFANYA VIZURI SANA HAPENDI RUSHWA
NB mkuu wa wilaya wa sasa wa mufindi DR linda salekwa ni KIMEO
 
Mwandishi mzuri wa umbea kama huu unatakiwa utupe jina kamili la muhusika na historia yake fupi,halafu ndio utuletee fact za anavyofeli utendaji Kwa Sasa.
 
Hua nasema

Kiongozi wa bara la Afrika akisema anakutana na wananchi ili kujua kero/ matatizo/ shida zao huyo hafai kabisa.

Ameishi nchini kabla hajawa kiongozi? Mbona changamoto zetu zipo nje nje? Ukimchukua kijana wa diploma ukamuambia nakupa uDC na resources za kudeal na changamoto za wilaya yako ila nitajie mbili utazoanza nazo atataja ndani ya dk 3.
 
Huyu DC alikua DED Arusha DC baadae akateuliwa DC NJOMBE halafu akaletwa Kinondoni. Kiukweli uwezo wake ni mdogo sana hana command ya DC. Afadhali awe DAS tuuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…