Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
- Thread starter
-
- #41
Huu ulioandika hapa ndio ukweli wenyewe. Ubarikiwe mkuu kwa kuliona hilo.Huyu DC alikua DED Arusha DC baadae akateuliwa DC NJOMBE halafu akaletwa Kinondoni. Kiukweli uwezo wake ni mdogo sana hana command ya DC. Afadhali awe DAS tuuu.
Naunga mkono ulichoandika mkuu.
Kinondoni ni wilaya ngumu kuiongoza kwani madiwani wake wanajihusisha na biashara haramu ya madawa ya kulevya! Sio SirI kuwa biashara hiyo inachangia uvamizi wa maeneo kando ya barabara na kando ya mto Ndumbwi huko KAWE!Kati ya teuzi bora kabisa za Mheshimiwa Rais ni huyu Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni ni Mtu makini,Msikivu na anajua kuishi na Kila mtu yuko Vizuri sana yaani kwa lugha ya Ndg yetu humu jukwaani Pascal Mayalla anasema yuko Humble down to Earth.!
Mkuu wa wilaya ya Kinondoni ameipa heshima serikali kwa kufuata sheria na kuvunja mabanda ya wavamizi wa barabara kule Mbezi beach B!Wewe itakuwa CCM tena wale wanaojifanya bila wao.. mambo hayaendi.... Akija mtumishi yeyote wa serikali mnajifanya kumwambia eti "tusikilize sisi utakaa sana hapa" mkibanwa kwenye mbavu mnaanza kutafuta huruma kwenye mitandao ya kijamii... Fanyeni Kazi bana... Achane hizo bana mtawarithisha watoto wenu domo au?
NB: huko china au japani, wanawafundisha watoto wao kilimo, ujenzi, nidhamu, kupenda Kazi na ubunifu... Nyie mmekaza na umbea tu...
Nimeandika hii baada ya kusoma huo umbea wako... Maana imeniuma sana kwakuwa naelewa kinacho endelea....