Ukweli ni kwamba SAMATTA anajua kutupia (kuvaa vizuri) Kuliko Mabishoo wengi wa BongoFleva

Kwa uvaaji apa bongo ni watatu kuna jux...kelvin (kb24)..na jamaa ana jiita chi tz
 
Ziro brain ataanzisha ligi na hapo hachelewiga kuzima mziki
 
Samatta anapata mshahara wa euro 15000 kwa wiki ,hawezi kuwa na mshindani na vijana wa kibongo
 
kweli na hana majivuno ya kijinga demu wake naye ni mkimya
wandengereko asilia yao ustaarab na uungwana ndio maana wanaitwa maskini jeuri hawajivuni wala hawamshobokei mtu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…