Eddy Love
JF-Expert Member
- Jul 25, 2011
- 13,654
- 8,564
Mmh Wewe Utakuwa Mchaga Mbona Mbahiri HivyooAhaaa hata siwezi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmh Wewe Utakuwa Mchaga Mbona Mbahiri HivyooAhaaa hata siwezi
Mm sio bahiliMmh Wewe Utakuwa Mchaga Mbona Mbahiri Hivyoo
HahaaaWawe na mkwanja wao mkuu ila kama mimi hapa mweusi na sina mpunga wala situpii utaniona makinikia tu
Basi My Unanifaa Sana Inabidi TuyajengeMm sio bahili
Duh tiyari ninae mtuBasi My Unanifaa Sana Inabidi Tuyajenge
Naona Mlango Umeufunga Ila Nakuomba One Time Si Unajua Hapa Ni PublicDuh tiyari ninae mtu
Duh.noNaona Mlango Umeufunga Ila Nakuomba One Time Si Unajua Hapa Ni Public
AiseeeeAlimuhonga embe akamgegeda
Plz Nakuomba One TimeDuh.no
Picha yake basiafu yupo simple hana skendo hana majivuno ila demu wake happiness ana mashauzi saana
trueeeSamatta anapata mshahara wa euro 15000 kwa wiki ,hawezi kuwa na mshindani na vijana wa kibongo
wandengereko asilia yao ustaarab na uungwana ndio maana wanaitwa maskini jeuri hawajivuni wala hawamshobokei mtu!kweli na hana majivuno ya kijinga demu wake naye ni mkimya
Wanaume wanajua kuvaa bongo ni Jux na Samatta na nguo zinawakaa haswa na kuwapendeza.
Domo tarumbeta kamrithisha hadi mwanae tiffa yaani hata wavae nguo ya bilioni hawapendezi kabisa bora hata mimi nikivaa mtumba wangu wa Ilala nakuwa balaa na nawakamata dada zao
Ninataka kufua nasubiri povu