Ukweli ni kwamba sijisikii comfortable pindi nikipanda ndege za Tanzania, najisika amani ninapopanda ndege za Kimataifa

Codes ziko too naked
 
Mpk wapewe hicho chombo mkuu wako competent,labda awe mlevi.
Mlevi mwenyewe akiwa kazini ananyoosha vizuri tu.
Kuna Pilot wetu mmoja kafupi hivi kalevikalevi wakati huo.
Lakini kwenye jopo la kuleta mwili
Wa mwalimu toka UK alikuwemo.
 
Hata Magufuli alikaa kwenye hicho kiti marubani wazungu walioileta ndege wakamshangaa.
 
Ndiyo, wapo competent.
 
"Ukweli ni kwamba sijisikii vizuri nikilala Nyumba ya nyasi, najisikia vizuri nikilala Nyumba ya bati"

Kuna sababu ya kuanzisha Mada kuhusiana na hiyo fact?

Fool!
 
Uko sahihi mm mwenyewe waliniziba matukio mara 2 cna ham nao, halafu mfano hai Air Tanzania wana route karibu 120 na wana ndege 16 tu zinafanyiwa service serious saa ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…