Ukweli ni kwamba Simba imecheza mechi zake zote mbili za fainali ya CAFCC ikiwa ugenini

DELETED ACCOUNT

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2010
Posts
9,805
Reaction score
15,476
Tusihadaike kwa maneno ya wanasiasa na vipichapicha vya hapa na pale, ukweli ni kwamba Simba imecheza mechi zake zote mbili za fainali ikiwa ugenini.

Simba imefanyiwa umafia mkubwa sana katika fainali hii kuanzia nje ya uwanja na hadi leo uwanjani kwa upande wa uamuzi.

Hili jambo lililofanyika katika fainali hii litaingia katika vitabu vyetu kama hujuma na wahusika wa hili wanajijua na wanajua kile walichofanya.

1000084597.jpg
 
Na huu ndo ukweli. Pia Simba amefanyiwa uhuni na dhuluma ktk namna nyingi sana.Haya mashindano wacheze tu haohao waarabu wao huko.Maana ukandamizaji kwa timu zingine ni mkubwa sana.
Soka la Africa hovyo sana
 
View attachment 3345755
Nakubaliana nawe
 
sijawahi kukusikia ukikubali simba imeshindwa kihalali hata siku moja. we ni mwendo wwa lawama tu. hivi yale makosa yako mawili ulishayataja au ulipotezea?
 
Na huu ndo ukweli. Pia Simba amefanyiwa uhuni na dhuluma ktk namna nyingi sana.Haya mashindano wacheze tu haohao waarabu wao huko.Maana ukandamizaji kwa timu zingine ni mkubwa sana.
Soka la Africa hovyo sana
Haya mashindano ya Africa pamoja na hujuma tutacheza. Ndo mashindano yenye fedha. Utamsajili Mpanzu akacheze ligi ya ndani ? La msingi kila msimu tuvuke makundi, vikombe vitakuja tu kwa wakati wake.
 
Yaani Simba timu ya Tanzania kucheza Zanzibar ambapo ni Tanzania Kuna ugeni gani?
Acheni kuwa mbumbumbu kwenye mpira kufungwa ni kawaida, Kwa Simba mbovu kama hii ingekuwa ajabu kumfunga RS Berkane, timu iliyowekeza vyema
Mwamnzo ilikia wanasema uwanja uliowapeleka fainali ndio utawapa kombe, leo hii....kweli mbumbumbu wapo
 
Huyu ndio Genius na Think Tank wa Simba ..
 
Attachments

  • IMG_20250525_233234.JPG
    IMG_20250525_233234.JPG
    90.7 KB · Views: 32
  • IMG_20250525_233201.JPG
    IMG_20250525_233201.JPG
    126.7 KB · Views: 33
Lakini hata nyie kuna mechi mlifufaika, mfano goli la offside dhidi ya Stellaboch? hapo hapo Amaan.
hata hivyo maamuzi yote yalikuwa sahihi, yule Kagoma anacheza rafu sana, lile goli lenu lapili ni offside
Hauwezi kutoa red card vile ya kirahisi rahisi katika mechi ya fainali. Goli la pili watu wanajifanyia maamuzi wamejifungia chumbani halafu hawatuonyeshi sababu ya maamuzi yao ili na sisi tujiridhishe.

Kiufupi Simba na Tanzania tumedharaulika sana kwenye hii fainali.
 
Haya mashindano yana element za kupromote uarabu na udini ndani yake.

Jana walituwekea mkeka mrefu wa vitu kibao ambavyo haviruhusiwi kuja navyo uwanjani halafu leo tumewaona wakishangilia kwa kupeperusha bendera za Palestina tena kwenye pitch na hatukuona wakizuiwa.
Kwa akili zako hizo acha Kishabikia mpira

Ukijiona hukubali kushindwa basi acha mambo ya mpira na kubeti yatakuua .
 
Na huu ndo ukweli. Pia Simba amefanyiwa uhuni na dhuluma ktk namna nyingi sana.Haya mashindano wacheze tu haohao waarabu wao huko.Maana ukandamizaji kwa timu zingine ni mkubwa sana.
Soka la Africa hovyo sana

Haya mashindano ya Africa pamoja na hujuma tutacheza. Ndo mashindano yenye fedha. Utamsajili Mpanzu akacheze ligi ya ndani ? La msingi kila msimu tuvuke makundi, vikombe vitakuja tu kwa wakati wake.
Mashindano yote ya CAF yana element za kupromote uarabu na udini ndani yake.

Jana walituwekea mkeka mrefu wa vitu kibao ambavyo haviruhusiwi kuja navyo uwanjani halafu leo tumewaona wakishangilia kwa kupeperusha bendera za Palestina tena kwenye pitch na hatukuona wakizuiwa.
 
Poleni sana watani, uto aka nyuma mwiko mnavyotuita tulijua hamtoboi kombe la single mothers na tuliwaambia Berkane ni mlima mrefu ni vile tu mbumbumbu huwa mnashupaza shingo hamkubali ukweli.

Uwanja ni uwanja tu mbona Barcelona ameifunga Real Madrid nje ndani bao nne kwao na Camp Nou.

Simba ni timu mbovu, underdog japo ina jina kubwa na promo grade one. Wenye kombe lao wamebeba si kwa bahati mbaya wana uwezo na ni mabingwa kwao Morocco wakizitoa jasho Wydad na Raja. Hivi hii Simba kweli ina ubavu gani wa kubeba kombe la CAF, hata mngecheza kwa Nkapa mngepigwa za uso tu uwezo hamna kubalini mjipange upya.

Yanga tunawasubiri CRDB tuwashenyente!!Kazi ni moja tu ya Dube kufumua mshono!
 
Back
Top Bottom