Stick kwenye mada kama hauna cha kuchangia tembea. Nani anaongelea kubeti hapa?Kwa akili zako hizo acha Kishabikia mpira
Ukijiona hukubali kushindwa basi acha mambo ya mpira na kubeti yatakuua .
Wale Stellenboch ni timu ya Cape town, lakini hawakutowa visingizio kwenda kucheza Durban ugenini na VAR iliwaokowa.Tusihadaike kwa maneno ya wanasiasa na vipichapicha vya hapa na pale, ukweli ni kwamba Simba imecheza mechi zake zote mbili za fainali ikiwa ugenini.
Simba imefanyiwa umafia mkubwa sana katika fainali hii kuanzia nje ya uwanja na hadi leo uwanjani kwa upande wa uamuzi.
Hili jambo lililofanyika katika fainali hii litaingia katika vitabu vyetu kama hujuma na wahusika wa hili wanajijua na wanajua kile walichofanya.
View attachment 3345755
Kesho Azam mechi wanairudia kuonesha saa ngapi?Tugange yajayooo. Yashapita si ndwelee.
Waulize wenyewe Azam Watakupa majibu.Kesho Azam mechi wanairudia kuonesha saa ngapi?
Nataka nitulie niangalie hii mechi kwa umakini bila ushabiki.
No reform no election.Waulize wenyewe Azam Watakupa majibu.
Mie sijui.
Ubayaaaa ubwelaaaaNo reform no election.
Sisi ndiyo Simba SC;Tusihadaike kwa maneno ya wanasiasa na vipichapicha vya hapa na pale, ukweli ni kwamba Simba imecheza mechi zake zote mbili za fainali ikiwa ugenini.