DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
Nakubaliana naweTusihadaike kwa maneno ya wanasiasa na vipichapicha vya hapa na pale, ukweli ni kwamba Simba imecheza mechi zake zote mbili za fainali ikiwa ugenini.
Simba imefanyiwa umafia mkubwa sana katika fainali hii kuanzia nje ya uwanja na hadi leo uwanjani kwa upande wa uamuzi.
Hili jambo lililofanyika katika fainali hii litaingia katika vitabu vyetu kama hujuma na wahusika wa hili wanajijua na wanajua kile walichofanya.
View attachment 3345755
sijawahi kukusikia ukikubali simba imeshindwa kihalali hata siku moja. we ni mwendo wwa lawama tu. hivi yale makosa yako mawili ulishayataja au ulipotezea?Tusihadaike kwa maneno ya wanasiasa na vipichapicha vya hapa na pale, ukweli ni kwamba Simba imecheza mechi zake zote mbili za fainali ikiwa ugenini.
Simba imefanyiwa umafia mkubwa sana katika fainali hii kuanzia nje ya uwanja na hadi leo uwanjani kwa upande wa uamuzi.
Hili jambo lililofanyika katika fainali hii litaingia katika vitabu vyetu kama hujuma na wahusika wa hili wanajijua na wanajua kile walichofanya.
View attachment 3345755
Haya mashindano ya Africa pamoja na hujuma tutacheza. Ndo mashindano yenye fedha. Utamsajili Mpanzu akacheze ligi ya ndani ? La msingi kila msimu tuvuke makundi, vikombe vitakuja tu kwa wakati wake.Na huu ndo ukweli. Pia Simba amefanyiwa uhuni na dhuluma ktk namna nyingi sana.Haya mashindano wacheze tu haohao waarabu wao huko.Maana ukandamizaji kwa timu zingine ni mkubwa sana.
Soka la Africa hovyo sana
Nendeni mkashtakiNa huu ndo ukweli. Pia Simba amefanyiwa uhuni na dhuluma ktk namna nyingi sana.Haya mashindano wacheze tu haohao waarabu wao huko.Maana ukandamizaji kwa timu zingine ni mkubwa sana.
Soka la Africa hovyo sana
Mwamnzo ilikia wanasema uwanja uliowapeleka fainali ndio utawapa kombe, leo hii....kweli mbumbumbu wapoYaani Simba timu ya Tanzania kucheza Zanzibar ambapo ni Tanzania Kuna ugeni gani?
Acheni kuwa mbumbumbu kwenye mpira kufungwa ni kawaida, Kwa Simba mbovu kama hii ingekuwa ajabu kumfunga RS Berkane, timu iliyowekeza vyema
Hauwezi kutoa red card vile ya kirahisi rahisi katika mechi ya fainali. Goli la pili watu wanajifanyia maamuzi wamejifungia chumbani halafu hawatuonyeshi sababu ya maamuzi yao ili na sisi tujiridhishe.Lakini hata nyie kuna mechi mlifufaika, mfano goli la offside dhidi ya Stellaboch? hapo hapo Amaan.
hata hivyo maamuzi yote yalikuwa sahihi, yule Kagoma anacheza rafu sana, lile goli lenu lapili ni offside
Kwa akili zako hizo acha Kishabikia mpiraHaya mashindano yana element za kupromote uarabu na udini ndani yake.
Jana walituwekea mkeka mrefu wa vitu kibao ambavyo haviruhusiwi kuja navyo uwanjani halafu leo tumewaona wakishangilia kwa kupeperusha bendera za Palestina tena kwenye pitch na hatukuona wakizuiwa.
Na huu ndo ukweli. Pia Simba amefanyiwa uhuni na dhuluma ktk namna nyingi sana.Haya mashindano wacheze tu haohao waarabu wao huko.Maana ukandamizaji kwa timu zingine ni mkubwa sana.
Soka la Africa hovyo sana
Mashindano yote ya CAF yana element za kupromote uarabu na udini ndani yake.Haya mashindano ya Africa pamoja na hujuma tutacheza. Ndo mashindano yenye fedha. Utamsajili Mpanzu akacheze ligi ya ndani ? La msingi kila msimu tuvuke makundi, vikombe vitakuja tu kwa wakati wake.