Ukweli ni kwamba Simba imecheza mechi zake zote mbili za fainali ya CAFCC ikiwa ugenini

Bado kwa mkapa kumalizia,,, Hili tunabeba ilisikika mlevi mmoja wa changaaa
 
Wale Stellenboch ni timu ya Cape town, lakini hawakutowa visingizio kwenda kucheza Durban ugenini na VAR iliwaokowa.

Huna hoja.
 
Mimi ni simba kiukweli tumefungwa kihalali mechi ilikuwa na tension na hatukujipanga vizuri tushukuru Camara lasivyo tungefungwa magoli mvua
 
Tuipongeza sana Simba kwa kufikia hapo. Ni muda tu watapanda zaidi.
Wote Simba na Yanga ni fahari yetu.
Kazi iendelee
 
Sisi ndiyo Simba SC;
1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Makelele SC.
5. Malalamiko/Lia lia SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyang'au SC.
8. Manyaunyau/Mapaka SC.
9. Mazumbukuku SC.
10. Mwakarobo SC.
11. Mbeleko/Bebwa bebwa SC.
12. Manguruwe SC.
13. Miso Misonda SC.
14. Mikia SC.
15. Mbuzi SC.
16. Zuwena SC.
17. Khamsa Khamsa/5imba SC.
18. Kufa Kiume SC.
19. Kikanuni SC.
20. Bahasha SC.
21. Ngada SC.
22. Kolowizards SC.
23. Kamdomo SC.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…