Ukweli ni kwamba sina hisia naye na wala sio aina ya mwanamke nimpendae kimuonekano lakini...

Ukweli ni kwamba sina hisia naye na wala sio aina ya mwanamke nimpendae kimuonekano lakini...

Hawataki usumbufu wanataka mtu anayejua wajibu wake [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Anayejua style ipi ianze na ipi ya kumalizia
Sasa anataka anayejua hayo, akimpta ajue kafundishwa saaaana anajua mitwangio kibao
 
Kwenye kilele watu sura huwa zina change wii 🤣🤣🤣
Unashangaa Chris brown anageuka kingwendu gafla 😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 eti kingwendu.

Ila wii kama mtu mbovu ni mbovu tu🤣🤣🤣🤣
 
Eti we mtoto Lamomy Kwa Nini uchukue Mtu anakutisha?we kwenye mwanga hukumuona?🤣🤣🤣
Dada usijifanye hujui, kwenye kilele watu wana change. Sura mbalimbali zinajitokeza, kuna za kukata roho kiini cha uso cha jicho chote kinaondoka unabaki weupe tyuuu!!! Kuna wale km wamelamba ukwaju, na wale km wanapiga miluzi huku mate yanawatoka 🤣🤣🤣🤣
Hebu kwanza niache 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
 
hauwezi ingia JF ukabaki na stress ulizokuwa nazo,,,hakika hapa ni mwisho wa yote,,,nimeifikiria propela siachi kucheka
[emoji23][emoji23][emoji23]

Heri ya mwaka mpya best!
 
Hata awe mzuri vipi akifika kilele sura inabadilika, huwa sura zinafanana na mtu aliyekuwa toilet 🤣🤣🤣🤣
Kama we mzuriii, tutumie picha ..... malizia 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom