Ukweli ni kwamba sina hisia naye na wala sio aina ya mwanamke nimpendae kimuonekano lakini...

Ukweli ni kwamba sina hisia naye na wala sio aina ya mwanamke nimpendae kimuonekano lakini...

Dada usijifanye hujui, kwenye kilele watu wana change. Sura mbalimbali zinajitokeza, kuna za kukata roho kiini Ché uso cha jicho chore kinaondoka unabaki weupe tyuuu!!! Kuna wale km wamelamba ukwaju, na wale km wanapiga miluzi huku mate yanawatoka 🤣🤣🤣🤣
Hebu kwanza niache 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂🤣🤣🤣😂😂😂😂😂🤣🤣🤣 wanapiga miluzi ndio wanakuwaje jamani
 
Back
Top Bottom