Ukweli ni kwamba wapalestina hata wakiuwawa na waisrael pale sio kwao warudi walikotoka

Ukweli ni kwamba wapalestina hata wakiuwawa na waisrael pale sio kwao warudi walikotoka

Wangoni wali-settle vipi pale walipo? Waingereza wa sasa? Waarabu wa kaskazini yooote ya Afrika ni wa asili ya hapo? Waliingiaje pale? Jamii nyingi duniani ziko maeneo ambayo kiasili yalikaliwa na jamii nyingine zilizoshindwa. Kwa nini hawa watetezi wa wapalestina hawazisemi hizo?!
Kwahiyo leo wangoni wanaweza rudi sauzi wakadai ni nchi yao na wale waxhosa au wazulu wawapishe entirely?? Au leo wamanyema warudi congo wadai ni nchi yao hivyo wale wakasai au wamushi wawapishe itaingia akilini kweli?? Kila mtu akidai nchi aliyorithishwa patatosha humu? Kingine kwenye biblia ardhi hakupewa israel tu kuna mataifa mengi tu yalipewa ardhi ila leo yanaishi mbali kabisa na hayo maeneo na sijawahi sikia wakitoa hoja ya NCHI YA AHADI kuhalalisha kuyarudia hayo mataifa waliopewa na Mungu sasa kwanni iwe israel tu??

Ningeomba majibu tafadhali
 
Amos 9:7 ►
Verse (Click for Chapter)
New International Version
"Are not you Israelites the same to me as the Cushites?" declares the LORD. "Did I not bring Israel up from Egypt, the Philistines from Caphtor and the Arameans from Kir?

New Living Translation
"Are you Israelites more important to me than the Ethiopians?" asks the LORD. "I brought Israel out of Egypt, but I also brought the Philistines from Crete and led the Arameans out of Kir.

Hapa mungu anawambia wayahudi wasijione wao ni wa maana kuliko wengine.
Kama vile alivyowaleta wakushi toka Ethiopia,wafilist toka Crete,na wa aramen toka Syria,ndivyo aliwaleta waisrael toka huko misri.
Sasa swali,kama mungu mwenye we anakiri kuwa waisrael sio special kivile kwa mjibu wa Amos,
Nani alibuni hii habari ya nchi ya ahadi,kama ni kweli mungu aliwaleta hapo wrote pale Palestine?
 
Lakini hawa hawa kuwa pale,Palestine,
Wamekuja toka Europe,wamekuta native pale wapi kwa miaka zaidi ya 1000,wanawatoa na kudai wao ndo wamiliki halisi.
Wayahudi waliokwenda utumwani ni sehemu ndogo tu ya wale waliobaki Palestine na wakati adopt tamaduni zingine,na ama wakaendelea na zao.
Watu waliounda modern Israel ni wazungu wa europe
Hao waliotoka Europe unajua ni sababu ipi iliwafanya wakajikuta Europe wakati hata sio kwao kiuhalisia
 
Mwarabu kwa kuwa alitokea eneo ambalo leo linajulikana kama iraq ndio unaamini alikuwa mwarabu? Hebu nionyeshe sehemu kwenye historia ya mesopotamia inayoonyesha wakazi wake walikuwa waarabu kabla abraham hajaingia kanaan
Mkuu naunga mkono hoja ya Elungata ni kweli abraham alikuwa muarabu sababu alikuwa ni kutoka uzao directly wa shem ambaye ndiye baba wa wasemiti wote duniani..... Sasa kama arphaxad yaani babu wa abraham naye alikua muarab je ni kwanini Abraham asiwe muarab nipe sababu moja tu..... Na kama hakuwa muarab je abraham ni race gani??
 
Lakini hawa hawa kuwa pale,Palestine,
Wamekuja toka Europe,wamekuta native pale wapi kwa miaka zaidi ya 1000,wanawatoa na kudai wao ndo wamiliki halisi.
Wayahudi waliokwenda utumwani ni sehemu ndogo tu ya wale waliobaki Palestine na wakati adopt tamaduni zingine,na ama wakaendelea na zao.
Watu waliounda modern Israel ni wazungu wa europe
Hakuna myahudi aliekwenda utumwani wakati dola la Roma limeapa kuuangamiza mji wa Jerusalem mwaka 70bk na wakazi wake wote Bali wengine waliopata habari walikimbia wenyewe kwenda kusikojulikana ndio baadae tunasikia habari za wayahudi kuteseka Europe huko kabla hawajajikusanya na kurudi kwenye eneo Lao la asili
 
Mwarabu kwa kuwa alitokea eneo ambalo leo linajulikana kama iraq ndio unaamini alikuwa mwarabu? Hebu nionyeshe sehemu kwenye historia ya mesopotamia inayoonyesha wakazi wake walikuwa waarabu kabla abraham hajaingia kanaan
Unajua kuwa lugha ya kiarabu imeanza 6 century BC?.
Kabla ya hapo walikuwa wanaongea lugha IPI hiyo jamii?
Unajua kulikuwa na Akkadian na Sumerian,
Unajua mpaka Leo Iraq kuna wakaldayo na Syria kuna waasyria?
Abraham alitokea Ur ya ukaldayo.
Mpaka Leo hii jumamosi,Iraq kuna wakaldayo.
Hakuna nchi nyingine duniani yenye wakaldayo zaidi ya Iraq,
Wakaldayo wa Iraq,wanaitwa wairaq,
Abraham alikuwa mkalidayo
 
Mkuu jana nlikuuliza kwanni unadai laana ya canaan ndio imesababisha watawaliwe nikakuhoju canaan laana aliitoa wapi yaani alifanya kosa gani hadi alaaniwe bado nasubiri jibu alafu usiseme makabila mengine madogo madogo hayo sio makabila ni familia ya Canaan hao ni watoto wake sio makabila madogo madogo kama unavyotaka kupotosha hapa
Ni kama useme tu tanzania ina wenyeji wake na sisi Tupo ndani ya tanzania na tunaitwa watanzania japo sio watanzania asili Bali tuna asili zetu
 
Yeah hawahawa feki ndio kwenye tafiti zimeonyesha wao na wapalestina wana match DNA ikimaanisha kama mtoa mada anadai wapalestina pale sio kwao basi ajue waisrael pale pia sio kwao maana wote wana chimbuko moja yaani ni sawa useme mkono wako wa kushoto ni wa mwili wako alafu ukatae wa kulia sio wa mwili wako inaingia akilini kweli mwili mmoja alafu mikono isiwe ya mwili wako???

Soma hapa juu ya hiyo tafiti
Blood brothers: Palestinians and Jews share genetic roots
Hivi unajua palestina imejaa waarabu wa kiislamu toka Karne uislamu ulipoanza
Kimsingi kuna waarabu wanajifanya wao ni wapalestina halisi lakini sio kweli
 
Kwa wasiotambua Aram empire ndo Syria,watu wa Syria kabla hawajawa arabized,walikuwa wakiongea lugha ya aramaic,
Asili ya Mke wa Isaac,yaani Rebecca kama sikosei ni syria
 
Kwahiyo leo wangoni wanaweza rudi sauzi wakadai ni nchi yao na wale waxhosa au wazulu wawapishe entirely?? Au leo wamanyema warudi congo wadai ni nchi yao hivyo wale wakasai au wamushi wawapishe itaingia akilini kweli?? Kila mtu akidai nchi aliyorithishwa patatosha humu? Kingine kwenye biblia ardhi hakupewa israel tu kuna mataifa mengi tu yalipewa ardhi ila leo yanaishi mbali kabisa na hayo maeneo na sijawahi sikia wakitoa hoja ya NCHI YA AHADI kuhalalisha kuyarudia hayo mataifa waliopewa na Mungu sasa kwanni iwe israel tu??

Ningeomba majibu tafadhali
Hawawezi kurudi kwa kuwa tayari wana eneo la kuishi
Kilichowafanya wayahudi kuteseka Europe ni kuwa hawakuwa na sehemu wanayoweza kuiita ni yao kwa kuwa maeneo yote yalikuwa na wenyeji ndipo walipoanza kuitafuta asili yao na Kuanza kurejea
 
Amos 9:7 ►
Verse (Click for Chapter)
New International Version
"Are not you Israelites the same to me as the Cushites?" declares the LORD. "Did I not bring Israel up from Egypt, the Philistines from Caphtor and the Arameans from Kir?

New Living Translation
"Are you Israelites more important to me than the Ethiopians?" asks the LORD. "I brought Israel out of Egypt, but I also brought the Philistines from Crete and led the Arameans out of Kir.

Hapa mungu anawambia wayahudi wasijione wao ni wa maana kuliko wengine.
Kama vile alivyowaleta wakushi toka Ethiopia,wafilist toka Crete,na wa aramen toka Syria,ndivyo aliwaleta waisrael toka huko misri.
Sasa swali,kama mungu mwenye we anakiri kuwa waisrael sio special kivile kwa mjibu wa Amos,
Nani alibuni hii habari ya nchi ya ahadi,kama ni kweli mungu aliwaleta hapo wrote pale Palestine?
Hilo andiko lako la Amos 9/7 haliwezi kuondoa ukweli kwamba yakobo ambaye ni Israel alikuwa kanaan kabla hawajaamia misri kutokana na njaa ya muda mrefu huko kanaan mkuu elungata
 
Mkuu naunga mkono hoja ya Elungata ni kweli abraham alikuwa muarabu sababu alikuwa ni kutoka uzao directly wa shem ambaye ndiye baba wa wasemiti wote duniani..... Sasa kama arphaxad yaani babu wa abraham naye alikua muarab je ni kwanini Abraham asiwe muarab nipe sababu moja tu..... Na kama hakuwa muarab je abraham ni race gani??
Hahahaa baba wa abraham aliitwa Terra na vilipita vizazi kadhaa vingi tu vya shemu kabla Terra hajazaliwa
Tumekubaliana hapa na elungata kuwa vizazi hubadilika sasa kama vizazi hubadilika kuna uhakika gani Terra alikuwa mwarabu na akamzaa mtoto wake wa kwanza abraham nae Akiwa mwarabu?
Kumbuka mke wa abraham alikuwa ni ndugu kabisa wa Abrahamu yaani baba mmoja ila mama tofauti kwa kuwa Sara alizaliwa na mama tofauti na wa abraham
 
Unaweza kumthibitisha walau huyo Mungu unaesema ardhi ile ni ya kwake?
Kama utaweza kuthibitisha uwepo wake pia fafanua mbona historia ya kitabu chako unachosimamia kinasema kuwa kabla ya hawa watoto wa Ibrahim kuiteka nchi ile walipambana kwanza na wenyeji wa pale? Kwahiyo tukubali watoto hawa wa Ibrahim waliingia vitani na Mungu unaemmaanisha?
Nakuuliza hivi sababu umesema nchi ile ilikuwa ya Mungu wako.
hahahaaa"" raha sana "" .
.maswali tija haya ""..
 
Unazungumzia biblia hii yenye vitabu kama series ya jumong na kufanyiwa marekebosho kutokana na dunia inavyokwenda au? tuanzie hapo.
ha hahaha "" aisee " hmu ndani bwana ".
 
Jibu lako linazidi kuibua maswali zaidi mkuu!
Kwa kifupi tu hivi leo hii au kesho ikitokea Wayahudi wakaja hapa Tanzania wakiwa na ndege za kijeshi, vifaru, bunduki na kila aina ya silaha wakaanza kutushambulia kila kona wakisema, "JEHOVAH/MUNGU KATUPA NCHI YA TANZANIA TUITAWALE NA KUIMILIKI!" utawaelewa na kuwasaport kwa kuwa Mungu wao ndio amewapa Tanzania?
Kumbuka Mungu wao pia wakati ule aliwaamuru waue kila mtu watakaemkuta mule kanaan kuanzia watoto, wazee, kinamama, vijana, kukatakata na maashera yao na kuua mpaka na wanyama wafugwao! Sasa chukulia ndio tupewe taarifa leo kuwa asubuhi ya kesho tuwe tumeondoka nchini mwetu laa sivyo tutauawa wote na Wayahudi kwa kuwa Mungu amewapa nchi hii.

Nakuuliza tena! Utakuwa tayari kwa jambo hilo kwa kuwa Mungu ndio kasema?
Je, kwaweza kuwa na Mungu mpumbavu namna hii?

Mungu muweza wa yote, mwenye upendo, mjuzi wa yote, aliyeko kila mahali aweza kuyatenda hayo?

Unajua binadamu mwenye akili timamu akiyaamini haya, basi kuna haja hizi dini zipigwe marufuku maana zinadumaza akili za watoto wetu.
Ha haha haha dini zina amrisha uchochezi " na ufanyaji maafa " kuliko hata serikali ya " mkoloni "" halafu hapo hapo mtu anasema " kwamba mungu ni Mwenye upendo kwa wote " na muweza wa yote " kwanini asingetumia uweza wake " kumuumbia huyo Abraham nchi nyingine aishi"" ili aweze kuepusha maafa ya takayo sababishwa na vita toka kwa huyo Abraham Mwenye lengo LA kufanya uvamizi kwenye nchi ya watu ""
 
Tumia akiri kidogo brother tambua wanagombania ardhi ya halali kwao yani urithi wao waliopewa na MUNGU.
Hivyo hawawezi kuja Tanzania kwasababu hawakupewa kuimiliki.
hivi una akili timamu kweli " umetolewa mfano " unashindwa kujibu hoja "" huko shuleni ulikwendaga kusomea ujinga "....
 
Hahahaa baba wa abraham aliitwa Terra na vilipita vizazi kadhaa vingi tu vya shemu kabla Terra hajazaliwa
Tumekubaliana hapa na elungata kuwa vizazi hubadilika sasa kama vizazi hubadilika kuna uhakika gani Terra alikuwa mwarabu na akamzaa mtoto wake wa kwanza abraham nae Akiwa mwarabu?
Kumbuka mke wa abraham alikuwa ni ndugu kabisa wa Abrahamu yaani baba mmoja ila mama tofauti kwa kuwa Sara alizaliwa na mama tofauti na wa abraham
Uhakika ni kwamba jamii za upande wa shem pale zilipotajwa kwenye biblia kihistoria ziliishi jamii za kisemiti kabisa ambazo kwa sasa zinafahamika kama waarabu ndio maana tunaconclude hivyo sasa wwe kwa mawazo yako Abraham ni jamii gani?? Na kwanini wayahudi wakibaguliwa wanasema ni ANTI-SEMITISM?? Sio Anti-jewish??

Anyway abraham alikuwa race gani
 
Back
Top Bottom