zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Kwahiyo leo wangoni wanaweza rudi sauzi wakadai ni nchi yao na wale waxhosa au wazulu wawapishe entirely?? Au leo wamanyema warudi congo wadai ni nchi yao hivyo wale wakasai au wamushi wawapishe itaingia akilini kweli?? Kila mtu akidai nchi aliyorithishwa patatosha humu? Kingine kwenye biblia ardhi hakupewa israel tu kuna mataifa mengi tu yalipewa ardhi ila leo yanaishi mbali kabisa na hayo maeneo na sijawahi sikia wakitoa hoja ya NCHI YA AHADI kuhalalisha kuyarudia hayo mataifa waliopewa na Mungu sasa kwanni iwe israel tu??Wangoni wali-settle vipi pale walipo? Waingereza wa sasa? Waarabu wa kaskazini yooote ya Afrika ni wa asili ya hapo? Waliingiaje pale? Jamii nyingi duniani ziko maeneo ambayo kiasili yalikaliwa na jamii nyingine zilizoshindwa. Kwa nini hawa watetezi wa wapalestina hawazisemi hizo?!
Ningeomba majibu tafadhali