Hivi asili ya wapelestina ni wapi,mana Mimi nasikia tu story inayohusu hao Waisrael lakini story inayohusu wapelestina siikii, naomba mnisaidie hapoKazi kwelikweli nani aliyekwambia wafilisti ndio wapalestina?? Wafilisti wametokea ukoo wa caphtor mwana wa mizraim sasa wapi na wapi na wapalestina?? Hivi hii story mnaitoaga wapi kuwa wapalestina ni wafilisti??? Kwanni mnapotosha hata makanisani nasikiaga sana hadi nashangaa mnatoa wapi hizo taarifa....
Alafu kingine nchi ya ahadi kibiblia inafika hadi Euphrates na inaanzia mto nile mbona sijawahi sikia wakienda kuishi misri au iraq ambapo ndipo mto frati upo?? Why palepale mashariki ya kati?? Kana kwamba ardhi wanayodai kupewa ndio palepale tu kwanini hili kiasi wawatese wapalestina wasio na hatia
Mwisho kusema wapalestina warudi walipotoka ni kauli ya ajabu sababu hta wayahudi walihamia tu pale na walikuta wazawa......hivyo basi hakuna sababu yeyote ya kuwatesa wapalestina kama waliishi wa wagibeoni vizuri ingawa waliwakalia kimabavu basi waishi hivyo hivyo na palestina yaani nchi moja yenye haki sawa wakumbuke hata wao walipokuwa utumwani walipokelewa na nchi nyingi tu kwanni leo hii wawaone wapalestina kama hawana haki eti sababu walipewa hiyo nchi..... Mbona wao walipewa hifadhi nchi nyingi tu sembuse leo hii waone wengine ndio hawafai kuishi hapo!! Sio undumilakuwili huu
Mimi ni mkristo ila kiukweli hawa wayahudi wenye nywele nyeupe na macho ya blue!! Wanakosea sana