Ukweli ni kwamba wapalestina hata wakiuwawa na waisrael pale sio kwao warudi walikotoka

Ukweli ni kwamba wapalestina hata wakiuwawa na waisrael pale sio kwao warudi walikotoka

Hatutafuti history ya nyuma tunachoangalia ni pale Ibrahim alipopewa ardhi Hiyo kuwa urithi wake huko mwanzo inawezekana kabisa ilikua yao lakini MUNGU wa Ibrahim alimpa Ibrahim tena kwa agano dhabiti lisilo wezwa kuvunjwa, Hivyo ndugu zenu wapelestina wanajisumbua tu.
Kama huangalii historia Huna haki ya kubishana kwakuwa huna unalojua mkuu
 
We mleta mada Kama ardhi ile haikuwa ya wapalestina ninkwanini basi wapalestina walionywa kuwa " MKIWAPA INCHI WATACHUKUA YADI, NA MKIWAPA YADI WATACHUKUA MAILI"!! Rudi kasome vema kitabu lakini sio kile chenye VIRAKA LUKUKI
 
...pum.bafu wewe-sorry to say that.
...hivi umewafikiri kuwa watu wanaoamini hiyo biblia ni just chini ya 1/3...acha upoyoyo
... Uislam na ukristo ni ukoloni wa akili
Ni Suala la Mtazamo tu Mkuu, Wewe unaona ni Ukoloni wa Akili, mwingine anaona Upagani, mwingine anaona ni Utaratibu wake waku Kumtafuta Mungu kwa Imani;
So huna haja ya Kutoa matusi kwa mtazamo wako binafsi; Ni hayo tu
 
Ujue wazazi au tuseme babu zake wa Ibrahim waliishi Middle East, IncludingPalestine ya leo,yaani Adamu na Hawa. ktk bustani ya Edeni mahali haswa Mungu aliwaweka hao walofata waliwekwa na shetani tu, mpaka leo shetani anpeleka watu wake.
 
Back
Top Bottom