NZURI PESA
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 5,958
- 2,954
Kama huangalii historia Huna haki ya kubishana kwakuwa huna unalojua mkuuHatutafuti history ya nyuma tunachoangalia ni pale Ibrahim alipopewa ardhi Hiyo kuwa urithi wake huko mwanzo inawezekana kabisa ilikua yao lakini MUNGU wa Ibrahim alimpa Ibrahim tena kwa agano dhabiti lisilo wezwa kuvunjwa, Hivyo ndugu zenu wapelestina wanajisumbua tu.