PreGE2025 Ukweli ni kwamba Watanzania wote wanafahamu kwamba hakuna Uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,138
Reaction score
288,731
Inawezekana kabisa kwamba viko vyama vya siasa vya Tanzania vinavyojiandaa na Kinachoitwa Uchaguzi mkuu wa 2025, Bila shaka baadhi ya Wagombea wao Washaanza hata Kulogana kama wanavyofanya mara zote, tunavitakia kila la heri kwenye mipango yao hiyo.

Bali Watanzania wote Nchi Nzima wakiwemo hata wanaccm, Wamefahamu kwamba Hakuna Uchaguzi, Ni jambo muhimu sana kwa Wenye Nchi ambao ni Wananchi kufahamu yanayoendelea kwenye Nchi yao kama wanavyofahamu Watanzania, Japo Wamenyamaza

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Ikiwa ni hivi wewe ukiwa kama Mtanzania wa Kuzaliwa Mwenye akili timamu unadhani nini Kitatokea?

Screenshot_2025-04-26-13-39-59-1.png
 
Kimama kinajitekenya na kucheka chenyewe,kitajipachika uraisi tena kwa kufosi bila haya ila nafsi itamsuta sana..Urais fekii
 
Uchaguzi haupo kwa maana ya kukosekana kwa nguvu ya huo chaguzi ya kuleta matokeo halali. Lakini uchaguzi kama igizo la kuhalalisha utawala huo utalazimishwa, labda Mpango wa Mungu uingilie malengo ya wanadamu.
 
Inawezekana kabisa kwamba viko vyama vya siasa vya Tanzania vinavyojiandaa na Kinachoitwa Uchaguzi mkuu wa 2025, Bila shaka baadhi ya Wagombea wao Washaanza hata Kulogana kama wanavyofanya mara zote, tunavitakia kila la heri kwenye mipango yao hiyo.

Bali Watanzania wote Nchi Nzima wakiwemo hata wanaccm, Wamefahamu kwamba Hakuna Uchaguzi, Ni jambo muhimu sana kwa Wenye Nchi ambao ni Wananchi kufahamu yanayoendelea kwenye Nchi yao kama wanavyofahamu Watanzania, Japo Wamenyamaza

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Ikiwa ni hivi wewe ukiwa kama Mtanzania wa Kuzaliwa Mwenye akili timamu unadhani nini Kitatokea?

View attachment 3316742
Si kweli na ni uongo uliopitiliza...
 
nitamshangaa mtu anayeenda kupiga kura wakati keshaambiwa kura yake haina uamuzi wowote kwa mshindi wa uchaguzi atakayetangazwa

#NoReformsNoElection
 
Inawezekana kabisa kwamba viko vyama vya siasa vya Tanzania vinavyojiandaa na Kinachoitwa Uchaguzi mkuu wa 2025, Bila shaka baadhi ya Wagombea wao Washaanza hata Kulogana kama wanavyofanya mara zote, tunavitakia kila la heri kwenye mipango yao hiyo.

Bali Watanzania wote Nchi Nzima wakiwemo hata wanaccm, Wamefahamu kwamba Hakuna Uchaguzi, Ni jambo muhimu sana kwa Wenye Nchi ambao ni Wananchi kufahamu yanayoendelea kwenye Nchi yao kama wanavyofahamu Watanzania, Japo Wamenyamaza

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Ikiwa ni hivi wewe ukiwa kama Mtanzania wa Kuzaliwa Mwenye akili timamu unadhani nini Kitatokea?

View attachment 3316742
Wanaoamini uchaguzi hakuna ni CHADEMA (WASABATO MASALIA).
 
😀😀
 
Attachments

  • cf0ea736521de32f5d65e1a6b7fd56a4_1743187151179.mp4
    579.6 KB
Naombeni kujua October uchaguzi bi kidude atashindana na yule mama wa ACT na hashim Rungwe?
 
Back
Top Bottom