PreGE2025 Ukweli ni kwamba Watanzania wote wanafahamu kwamba hakuna Uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Inawezekana kabisa kwamba viko vyama vya siasa vya Tanzania vinavyojiandaa na Kinachoitwa Uchaguzi mkuu wa 2025, Bila shaka baadhi ya Wagombea wao Washaanza hata Kulogana kama wanavyofanya mara zote, tunavitakia kila la heri kwenye mipango yao hiyo.

Bali Watanzania wote Nchi Nzima wakiwemo hata wanaccm, Wamefahamu kwamba Hakuna Uchaguzi, Ni jambo muhimu sana kwa Wenye Nchi ambao ni Wananchi kufahamu yanayoendelea kwenye Nchi yao kama wanavyofahamu Watanzania, Japo Wamenyamaza

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Ikiwa ni hivi wewe ukiwa kama Mtanzania wa Kuzaliwa Mwenye akili timamu unadhani nini Kitatokea?

View attachment 3316742
WE NANI HADI UWASEMEE WATANZANIA WOTE
 
Mwaka huu utakua historia. CCM wamechokwa na wengi
wanatawala kwa mabavu na ujanja ujanja
 
Uchaguzi haupo kwa maana ya kukosekana kwa nguvu ya huo chaguzi ya kuleta matokeo halali. Lakini uchaguzi kama igizo la kuhalalisha utawala huo utalazimishwa, labda Mpango wa Mungu uingilie malengo ya wanadamu.
ya MUNGU ni mengi
kwa upepo unavyovuma ni heri chama tawala watumie busara, akili na sio nguvu
warudi ktk majadiliano ili amani iendelee kuwepo
 
Japokuwa sijawahi na sitokuja kupiga kura, ila najua uchaguzi upo.
 
uchaguzi ni pale watu wanapokuwa na choice

Bila choice sio uchaguzi ni uchafuzi

#NoReformsNoElection
 
Kwahy Huu uchafuzi umeeanza 2020 Ila miaka mingine ilikuwa n uchaguzi?
 
kwa katiba hii, hatujawahi kuwa na uchaguzi

sema level za uchafuzi zimekuwa kubwa sana tangu 2020 compared na before

#NoReformsNoElection
 
kwa katiba hii, hatujawahi kuwa na uchaguzi

sema level za uchafuzi zimekuwa kubwa sana tangu 2020 compared na before

#NoReformsNoElection
Kumbe uchaguzi yote iliyopita ilikuwa uchafuzi ila ya 2020 ndo ilikuwa too much, bc Sawa.
 
IMG-20250428-WA0005.jpg
 
Inawezekana kabisa kwamba viko vyama vya siasa vya Tanzania vinavyojiandaa na Kinachoitwa Uchaguzi mkuu wa 2025, Bila shaka baadhi ya Wagombea wao Washaanza hata Kulogana kama wanavyofanya mara zote, tunavitakia kila la heri kwenye mipango yao hiyo.

Bali Watanzania wote Nchi Nzima wakiwemo hata wanaccm, Wamefahamu kwamba Hakuna Uchaguzi, Ni jambo muhimu sana kwa Wenye Nchi ambao ni Wananchi kufahamu yanayoendelea kwenye Nchi yao kama wanavyofahamu Watanzania, Japo Wamenyamaza

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Ikiwa ni hivi wewe ukiwa kama Mtanzania wa Kuzaliwa Mwenye akili timamu unadhani nini Kitatokea?

View attachment 3316742
YAANI HAO VIBAKA WALIOPIGWA NA KUJA KUFANYA USANII HAPA KUWA WAMEVUNJWA KUMBE HAKUNA KITU NDIYO WAZUIE UCHAGUZI? MAVI YA KENGE HAKUNA KIBAKA HATA MMOJA ATAKAEZUIA UCHAGUZI NA WEWE UKOME KUSEMA WATANZANIA WOTE WANAJUWA HAKUNA UCHAGUZI MIMI MBONA NAJUWA UCHAGUZI UPO NA NI MTANZANIA ACHENI KUJUMUISHA WATU KWENYE UJINGA WENU HUO
 
chawa cha mama - CCM
 
Back
Top Bottom