Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Walioombwa kutoa maoni ni wale wenye akili timamu tu, soma tena pale chiniwatanzania wote wa wapi?
Si kweli na ni uongo uliopitiliza...Inawezekana kabisa kwamba viko vyama vya siasa vya Tanzania vinavyojiandaa na Kinachoitwa Uchaguzi mkuu wa 2025, Bila shaka baadhi ya Wagombea wao Washaanza hata Kulogana kama wanavyofanya mara zote, tunavitakia kila la heri kwenye mipango yao hiyo.
Bali Watanzania wote Nchi Nzima wakiwemo hata wanaccm, Wamefahamu kwamba Hakuna Uchaguzi, Ni jambo muhimu sana kwa Wenye Nchi ambao ni Wananchi kufahamu yanayoendelea kwenye Nchi yao kama wanavyofahamu Watanzania, Japo Wamenyamaza
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Ikiwa ni hivi wewe ukiwa kama Mtanzania wa Kuzaliwa Mwenye akili timamu unadhani nini Kitatokea?
View attachment 3316742
watanzania wote wa wapi?
Wa Tanzaniawatanzania wote wa wapi?
nitamshangaa mtu anayeenda kupiga kura wakati keshaambiwa kura yake haina uamuzi wowote kwa mshindi wa uchaguzi atakayetangazwaInawezekana kabisa kwamba viko vyama vya siasa vya Tanzania vinavyojiandaa na Kinachoitwa Uchaguzi mkuu wa 2025, Bila shaka baadhi ya Wagombea wao Washaanza hata Kulogana kama wanavyofanya mara zote, tunavitakia kila la heri kwenye mipango yao hiyo.
Bali Watanzania wote Nchi Nzima wakiwemo hata wanaccm, Wamefahamu kwamba Hakuna Uchaguzi, Ni jambo muhimu sana kwa Wenye Nchi ambao ni Wananchi kufahamu yanayoendelea kwenye Nchi yao kama wanavyofahamu Watanzania, Japo Wamenyamaza
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Ikiwa ni hivi wewe ukiwa kama Mtanzania wa Kuzaliwa Mwenye akili timamu unadhani nini Kitatokea?
View attachment 3316742
Yezebeli hawezi kuwa Rais tenaKimama kinajitekenya na kucheka chenyewe,kitajipachika uraisi tena kwa kufosi bila haya ila nafsi itamsuta sana..Urais fekii
Wanaoamini uchaguzi hakuna ni CHADEMA (WASABATO MASALIA).Inawezekana kabisa kwamba viko vyama vya siasa vya Tanzania vinavyojiandaa na Kinachoitwa Uchaguzi mkuu wa 2025, Bila shaka baadhi ya Wagombea wao Washaanza hata Kulogana kama wanavyofanya mara zote, tunavitakia kila la heri kwenye mipango yao hiyo.
Bali Watanzania wote Nchi Nzima wakiwemo hata wanaccm, Wamefahamu kwamba Hakuna Uchaguzi, Ni jambo muhimu sana kwa Wenye Nchi ambao ni Wananchi kufahamu yanayoendelea kwenye Nchi yao kama wanavyofahamu Watanzania, Japo Wamenyamaza
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Ikiwa ni hivi wewe ukiwa kama Mtanzania wa Kuzaliwa Mwenye akili timamu unadhani nini Kitatokea?
View attachment 3316742
Unazo akili?Wanaoamini uchaguzi hakuna ni CHADEMA (WASABATO MASALIA).
ππInawezekana kabisa kwamba viko vyama vya siasa vya Tanzania vinavyojiandaa na Kinachoitwa Uchaguzi mkuu wa 2025, Bila shaka baadhi ya Wagombea wao Washaanza hata Kulogana kama wanavyofanya mara zote, tunavitakia kila la heri kwenye mipango yao hiyo.
Bali Watanzania wote Nchi Nzima wakiwemo hata wanaccm, Wamefahamu kwamba Hakuna Uchaguzi, Ni jambo muhimu sana kwa Wenye Nchi ambao ni Wananchi kufahamu yanayoendelea kwenye Nchi yao kama wanavyofahamu Watanzania, Japo Wamenyamaza
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Ikiwa ni hivi wewe ukiwa kama Mtanzania wa Kuzaliwa Mwenye akili timamu unadhani nini Kitatokea?
View attachment 3316742
πππHawajui Dunia , tunasubili tuone wakijipigia kura ,kujitangaza ,na kujiapisha, then na viti vitakaliwa kwa raha mstarehe,
Labda kwa mbinu hizi mlizozizoeaSi kweli na ni uongo uliopitiliza...
Inawezekana kabisa kwamba viko vyama vya siasa vya Tanzania vinavyojiandaa na Kinachoitwa Uchaguzi mkuu wa 2025, Bila shaka baadhi ya Wagombea wao Washaanza hata Kulogana kama wanavyofanya mara zote, tunavitakia kila la heri kwenye mipango yao hiyo.
Bali Watanzania wote Nchi Nzima wakiwemo hata wanaccm, Wamefahamu kwamba Hakuna Uchaguzi, Ni jambo muhimu sana kwa Wenye Nchi ambao ni Wananchi kufahamu yanayoendelea kwenye Nchi yao kama wanavyofahamu Watanzania, Japo Wamenyamaza
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Ikiwa ni hivi wewe ukiwa kama Mtanzania wa Kuzaliwa Mwenye akili timamu unadhani nini Kitatokea?
View attachment 3316742
NaamLabda kwa mbinu hizi mlizozizoea
View attachment 3316867